johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #141
Sawa kabisa mkuu!Watu wengi humu wamebakiza ushabiki na chuki.hawaweki facts.
Maana mchakato mzima wa kuuza hizo nyumba ulikuwa wazi na hoja kubwa ilikuwa kwamba nyumba zimechakaa hivyo serikali inatakiwa ijenge nyumba mpya kwa ajili ya viongozi. Baraza la mawaziri ndio lilikubali kuuzwa nyumba hizi. Waziri mkuu alikuwa F .Sumae