johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Kuuza nyumba za serikali ulikuwa ni uamuzi wa Baraza la mawaziri!..sijakisoma.
..wewe umekisoma?
..unaweza kutumegea taarifa mpya ulizozipata kuhusu ufisadi huu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuuza nyumba za serikali ulikuwa ni uamuzi wa Baraza la mawaziri!..sijakisoma.
..wewe umekisoma?
..unaweza kutumegea taarifa mpya ulizozipata kuhusu ufisadi huu?
Hahahahha jomba naomba unyamaze, jambo usilolijua ni kama usiku wa giza..Wizara ya ujenzi ndiyo waliopanga bei za hasara.
..Na Magufuli ndiyo alikuwa waziri wakati huo.
Kwanza kabisa muelewa wadau, ulikuwa ni uamuzi wa baraza la mawaziri. Alafu kila nyumba iliuzwa kulingana na thamani yake na eneo ilipo. Hizi nyumba mfano kule Mwanza Isamilo nyingi zilikuwa zimechakaa na hata zilikuwa zinavuja maana zilikuwa zimeezekwa kwa vigae. Alafu walipita wataalamu kufanya valuation ya kila nyumba ili kupanga bei. Kumhusisha mkuu na hili suala ni kumuonea tu. Wa kulaumiwa ni Sumaye ambae alikuwa waziri mkuu..Wizara ya ujenzi ndiyo waliopanga bei za hasara.
..Na Magufuli ndiyo alikuwa waziri wakati huo.
Kuuza nyumba za serikali ulikuwa ni uamuzi wa Baraza la mawaziri!
Msimamizi mkuu alikuwa Lumbanga na mzee Sumaye!..lakini ulitekelezwa na kusimamiwa na Magufuli.
..huwezi kuwa na kesi ya mauaji halafu ukasema the person who PULLED THE TRIGGER is not guilty because he is not the one who directed the killing.
Kwani nyumba huwa zinahamishwa?Unaoushahidi direct kuwa mahawara waligawiwa kama njugu? Ninaposema ushahidi direct maana yake uliona jinsi walivyogawiwa, uliona jinsi hati zilivyosajiliwa na mpaka sasa hivi unafahamu mahali hizi nyumba zilipo. Au unaongea kwa chuki tu.
Swali la kipumbavu
Kwanza kabisa muelewa wadau.ulikuwa ni uamuzi wa baraza la mawaziri. Alafu kila nyumba iliuzwa kulingana na thamani yake na eneo ilipo. Hizi nyumba mfano kule mwanza isamilo nyingi zilikuwa zimechakaa na hata zilikuwa zinavuja maana zilikuwa zimeezekwa kwa vigae. Alafu walipita wataalamu kufanya valuation ya kila nyumba ili kupanga bei. Kumhusisha mkuu na hili suala ni kumuonea tu. Wa kulaumiwa ni Sumae ambae alikuwa waziri mkuu
Bado Waziri wa ujenzi awamu ya Mkapa ashitakiweWaziri wa ardhi mh Lukuvi amemtaka mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai kuwashughulikia watendaji wa NHC na NIC waliouza kifisadi nyumba mbili za Serikali kinyume cha utaratibu.
Naye DCI amemuhakikishia Waziri Lukuvi kuwa atalishughulikia swala hilo kwa haraka na kuhakikisha nyumba hizo mbilu zinarudi serikalini.
Source ITV habari!
Safi Sana,huyu lukuvi anajitahidi Sana kwskweli
".... mpaka sasa hivi unafahamu mahali hizi nyumba zilipo". Nimekunukuu. Umejiona ulivyo juha na hayawani? Au unajitoa ufahamu?Swali la kipumbavu
Agizo la Rais ni sheria bwashee!..baraza la mawaziri hufikia uamuzi baada ya waziri anayehusika kuwasilisha pendekezo na kulijengea hoja.
..kama pendekezo halijatokea wizarani kwake, waziri anaweza kulipinga. Na akishindwa anatakiwa kujiuzulu.
..Waziri akienda kutekeleza maamuzi ya baraza maana yake anayaunga mkono. Na anakuwa amejifunga ikiwa utekelezaji wa maamuzi hayo utakuwa na madhara.
..Kwa hiyo Magufuli hawezi kukwepa lawama kwa ufisadi uliotokea ktk zoezi hili.
..Ukizingatia thamani ya nyumba + kiwanja utakubaliana na mimi kuwa Magufuli alifanya ufisadi.
Safi Sana,huyu lukuvi anajitahidi Sana kwskweli
Mada ni nyumba za serikali zilizouzwa kifisadi. Nadhani yupo mule mule! , ,[emoji56][emoji56][emoji56]Bwashee jikite kwenye mada iliyoko mezani!
Agizo la Rais ni sheria bwashee!
Muoshwa huoshwa!Bwashee jikite kwenye mada iliyoko mezani!
Fala wewe, nyumba hazihami ila unaweza kwenda kutuonyesha hizo unazodai alihonga kama njugu zilipo. Au kiswahili hujui?".... mpaka sasa hivi unafahamu mahali hizi nyumba zilipo". Nimekunukuu. Umejiona ulivyo juha na hayawani? Au unajitoa ufahamu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa. Jamaa anafikiri wadau wanajadili nje ya box kumbe wapo mlemle ilhali yeye alizungushia wigo wa makuti na jamaa wamechana nyavu mpaka kufukua makaburi. Sometimes tuwe tunaangalia na mada za kuleta otherwise upepo utatubadilikia. Na tukiwanyooshea vidole wenzetu tujiulize vile vinavyobaki vinamwelekea nani?Mada ni nyumba za serikali zilizouzwa kifisadi. Nadhani yupo mule mule! , ,[emoji56][emoji56][emoji56]
Sent using Jamii Forums mobile app