Nyumba za 60m zinaweza kuleta 2m kila mwezi kama kodi?

Nimesha kusoma mkuu kama Ulaya nilishawshi kuziona hizo ebu nizifustilie zaidi kama soko linaeleweka.
 
Nunua bajaji 10
Kila moja inakupa 20,000 X 10 = 200,000/- per day
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti bajaji 10, hapo unamanisha umeajiri vijana wa sumbufu 10, unajua stress za hiyo kozi, uchukue 60m uwape vijana wasio kua na anwani ya kudumu wasio kua na la kupoteza hiyo sio biashara mzee tunakimbia huko huko.
 
Iweke kwenye government bonds ya 25yrs ambayo riba yake Ni 15.26% kwa mwaka. Tumia bond kopa mkopo around 80% benki Jenga nyumba. Anza kula Kodi ya nyumba, na like gawio la bond litalipa mkopo. At the end utakuwa na nyumba na iyo 60M bado utakuwa nayo ukiweka na inflation factor labda inaweza ikawa Ni 35-45M for time to come
 
Mkuu,Jibu ni Nyumba haiwezei Kuzalisha Milioni 2 kwa Mwezi iwapo thamni yake ni milioni 60.Location ambayo thamani ya nyumba ni Milioni 60 basi Nyumba kodi yake inakuwa na 500,000 Maximum na hiyo nyumba inakuwa na thamani ya zaidi ya Milioni 60.Eneo ambalo unaweza Pata kodi ya Milioni 2 kwa Mwezi Thamani ya Nyumba ni Milioni 500+.IRR ya nyumba kwa Tanzania ni Ndogo sana.Ila unaweza Jenga Nyumba kisha Ukafanya Equity Release kisha Ukajenga Tena,Kisha Uwe unamiliki Real Estate kama Debt.Hapo Utaona Faida yake.
 
Ingia google andika air bnb utazipata.
Zipo dunian nzima ukigoogle za mji wowote duniani unapata.
Play store zipo app zake.
Ni cheap kuliko hotel
Nimesha pata app yao ila nyumba wanazo tangaza nikama hotels ziko beach sio za makapuku ziko kwenye dollors na pound £500 na kuendelea makonde wetu hawawezi kutoa na 60m haziwezi kutengeneza zile nyumba ni za kifahari sanaa.
 
Mambo sio rahisi kama mnavo simuliwa ulishawshi kununua hizo bond, miaka mitano unafikiri ni wiki tano.
 
Hiyo pesa ndogo sanaa bora nifungue hardware shop katika maeneo kama mbezi makabe au mpigi magoe sehemu ambazo azijaendelea sanaa kwa hiyo 60 m huwezi kukosa 100k kama faida kwa siku, mchawi mda au kijana mfanya kazi.
Hardware ya 60M ikupe 100k as profit kwa siku na kwa mwenzi jumla M3 hamna hamna M2 ......utani huu.
 
Nimesha pata app yao ila nyumba wanazo tangaza nikama hotels ziko beach sio za makapuku ziko kwenye dollors na pound £500 na kuendelea makonde wetu hawawezi kutoa na 60m haziwezi kutengeneza zile nyumba ni za kifahari sanaa.
Sio lazima iwe beach kiongozi ila eneo pia linachangia
Mfano kama una kiwanja tayari maeneo kama mikocheni kigamboni etc unaweza kujenga nyumba 2 ukaweka airbnb kwa $75 kwa siku @ ndani ya mwaka miaka 2 unakuwa upo pazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…