Nyumba za 60m zinaweza kuleta 2m kila mwezi kama kodi?

Sio lazima iwe beach kiongozi ila eneo pia linachangia
Mfano kama una kiwanja tayari maeneo kama mikocheni kigamboni etc unaweza kujenga nyumba 2 ukaweka airbnb kwa $75 kwa siku @ ndani ya mwaka miaka 2 unakuwa upo pazuri
Airbnb kwa mwezi mzima unaweza pata wateja kwa siku 7 tu, kukata mwezi bila wateja inawezekana. Alafu maintenance cost ya Airbnb ni kubwa sana, kila siku wanaingia wavuta shisha, mashoga, wasagaji, wapenzi, wazinzi, wahuni, matapeli na wachache ndio raia wema hapa kibongobongo. Hao kuvunja na kufanya uharibifu ni rahisi tu, si anakaa siku mbili tatu.

Unavyopiga hesabu ya mwaka sivyo.
 
In short term huwez recover au break even hio investment ako, hardly ni 400k per month
 
Nilivyosema kwa mwaka siku maanisha kwamba kila siku itakuwa inajaa
Siku 7 kwa mwezi kwa nyumba 2 za $75 kwa siku bado ni pesa nzuri tuu
 

kuna hiki kiwanja hapa kipo... karibia na kitunda, kivule kilomita chache ukiwa unatokea banana.... kina ukubwa wa MITA 25*30 kinahitaji 25m tu...!



urefu wake ni kuanzia hiyo nguzo u nayo iona hadi ile nguzo ya juu kule ya umeme...namba za anae uza ni 0759170794
 

Attachments

  • 20240405_160232_062744.jpg
    2.6 MB · Views: 30
Nilivyosema kwa mwaka siku maanisha kwamba kila siku itakuwa inajaa
Siku 7 kwa mwezi kwa nyumba 2 za $75 kwa siku bado ni pesa nzuri tuu
Hapo unataka mtu alipe 180,000 per day kwa chumba ambacho bado hajapika, kipo Goba ndanindani uko ambapo bado hajasafiri. Wakati muda huohuo angechukua 4 star hotel akalala juu na akiwa na breakfast na sehemu ya karibu kufikika. Ngumu kiasi chake
 
Hapo unataka mtu alipe 180,000 per day kwa chumba ambacho bado hajapika, kipo Goba ndanindani uko ambapo bado hajasafiri. Wakati muda huohuo angechukua 4 star hotel akalala juu na akiwa na breakfast na sehemu ya karibu kufikika. Ngumu kiasi chake
Sijasema chumba bali nyumba
 
Bond za serikali zinasoma 12%
 
Nimepitia comment nyingi...hapa Jamaa umetumia akili Mingi sana

Ukiweka bond unaendelea Pata maokoto mfano umempigia Kwa miaka Kumi Kwa laki5 anaweza kupata hiyo 60mio aliyowekeza

Then ana baki Na principal amount yake..Na nyumba zake zipo
 
Inakua kama guest house sawa nimekuelewa ila hapa wamakonde wa kwetu hapa sidhani kama wanaweza kukodi nyumba kwa wiki hiyo haitawezekana tutaua mtaji bure mkuu
Wabongo maskini wapo ila kwenye pesa za starehe wengi wanazo mkuu wala hata usitilie shaka. Maana airbnb hapo target ni usafi tu na privacy. Nyumba ikiwekwa online ukawa ume set mauzo yako yawe weekends unapiga pesa vizuri tu. Tena gharama wala isiwe kubwa ili hata watoto wa chuo wawe wanamudu.

Jengo la kisasa room kubwa moja self na sebule ya open kitchen hapo umemaliza. Mtu akija kulala aache 50k ya kitanzania kila siku moja anayolala kila kitu kimo ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…