Nyumba za Anne Semamba Makinda zinapigwa mnada!

Hizo ni collateral kwenye pesa ya biashara alizokopa bank.. Na akashindwa kurejesha kwa wakati
 
Kichwa chako kikiota nywele nyingi hukulazimu kuzipunguza, hana mume wala mtoto.
 
Kwani wakati anakopa dhamana yake aliweka SERIKALI? Mwache apambane na hali yake kwa kuwa wakati anakopa hakumshirikisha mtu yeyote. Hata hivyo, Anne Makinda anamiliki mijengo ya hatari kule maeneo ya Upanga, Masaki, Mbezi, Msasani, na maeneo mengine nyeti. Ngoja ziuzwe zipungue.
 
watajuana wenyewe huko acha zipigwe mnada. Acha walane wao kwa wao.
 
Yani ujinga wa watanzania ni wa ajabu sana, yani mtu akope ashindwe kulipa eti serikali imlipie. Kumbuka huyo mama bado ni mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa nhif bado anakula ela ukiachilia mbali anaendelea kula mshahara wa speaker 80% maisha yake yote.
Kuna watanzania wana matatizo hata pa kulala hawana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…