Nyumba za Anne Semamba Makinda zinapigwa mnada!

Nyumba za Anne Semamba Makinda zinapigwa mnada!

Yaani mtanzania akipata ka nafasi tu anakimbilia kwenye nyumba na viwanja....utafikiri ataishi milele
Ifikie pahali serikali ijenge majumba mengi ya ukubwa tofauti mchi nzima(national housing)halafu zipangishwe kwa gharama za chini sana ili kama Europe kuwafanya wananchi kufikiria ktk mambo mengine ya maendeleo kama afya na elimu.hii itapunguza hata wizi serikalini.
 
Jina la mdaiwa Anne...column ya pili
Nadhani kuna matangazo mawili humu JF on this issue. Mie sioni hilo jina la Anne kwenye hiyo column usemayo! Worse yule Spika Mstaafu anaitwa Anna siyo Anne! Anyway tunajisemea tu, wao na wadai ndiyo wanalijua hili zaidi AU SIYO!?
 
Huyu Mama akiwa spika...alipigania marupurupu yao hadi yakapanda mara mia....

Aliwahi sema wabunge ni very frustrated group! Sijawahi sahau hii kauli.
Angepambania wakulima kutafutiwa masoko mazuri ya kuuzia mazao yao ingependeza.
 
Huyu mama sijui anapigagaje hesabu zake. Anapenda mamikopo sana, hawa ni Azania wamemning'inia na NBC wanamdai kila siku wanataka kupiga mnada nyumba yake anawapooza.
Hata wakiziuza zote nado kana fedha nyingi sana
 
Hata mimi huwa nashangaa hii mindset ya Wabongo. Ukiwa na viwanja na nyumba nyingi eti unaonekana mjanja. Mjanja ni mwenye pesa ya kutosha benki, siyo viwanja. Unakuta ukoo mzima unakuja juu, jenga nyumba, jenga nyumba...
Yaani mtanzania akipata ka nafasi tu anakimbilia kwenye nyumba na viwanja....
 
Huyu mama sijui anapigagaje hesabu zake. Anapenda mamikopo sana, hawa ni Azania wamemning'inia na NBC wanamdai kila siku wanataka kupiga mnada nyumba yake anawapooza.
Mkuu kwani mikopo yake haikuwa bima au ilikuwa mikopo ya biashara???
 
Back
Top Bottom