Nyumba za Anne Semamba Makinda zinapigwa mnada!

Nadhani huu mnada itakuwa ndiyo utabiri wa Mstaafu Spika aliosema nchi hii soon itapigwa mnada. Hivi hizi si dalili kweli? Au ni macho yangu ^jar-man-knee^? Koz, huyu Makinda ni miongoni mwa papa wakubwa kwenye siasa, utawala na serikali.
😂😂😂😂
 
Kwanini zipigwe mnada?
 
Tony Kenan Makinda ndiye Anna Semamba Makinda!? Hili swali ni kwa mleta uzi, tueleze!
Ukisoma tangazo kwenye gazeti mdaiwa ni Anne Makinda isipokuwa nyumba ina jina la Tony Makinda kama mmiliki, so napata picha kwamba mkopaji (ambae mdaiwa) alitumia hati ya nyumba hiyo (Ya Tony). Hivyo ndivyo nilivyomuelewa mimi.
 
Hizo ni mbinu za kupiga hela bank. Thamani ya nyumba huwa ndogo sana ukilinganisha na pesa alio chukua.
So alikula deal na afisa mkopo kuku bali nyuma yenye thamani ndogo kuliko mkopo aliouchukua? Kama ni hivyo si mwadilifu mama yetu Makinda.
 
Ur fucking kidding bigger!!imsaidie!!!!
Imeshindwa kusaidia vijana wapate ajira za maana,unataka imsaidie mtumishi wa umma,aliyevuta kiinua mgongo zaidi ya milioni 200!!as far as Am concerned she can go and lot in hell,no fucking sympathy for her,and for any senior former civil servant for that matter
 
Ukisoma tangazo kwenye gazeti mdaiwa ni Anne Makinda isipokuwa nyumba ina jina la Tony Makinda kama mmiliki, so napata picha kwamba mkopaji (ambae mdaiwa) alitumia hati ya nyumba hiyo (Ya Tony). Hivyo ndivyo nilivyomuelewa mimi.
Nyumba za wakubwa huwa na majina ya ndugu,wahuni sana hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…