Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Nimejaribu kuwaza thamani ya baadhi ya nyumba za kuishi zinazouzwa kwenye Jiji la Dar es salaam kama zina thamani inayotajwa, Bado sijapata jibu.
Hivi nyumba inawezaje kuuzwa kwa bei ya shilingi bilioni tano kama hakuna dhana ya utakatishaji fedha ndani mwake?
Ni thamani ya Hela yetu imeshuka ama upatikanaji wake umekuwa rahisi kiasi kwamba mtu kutoa bilioni tano kwa ajili ya kununua nyumba ya kulala tu lionekane ni jambo la kawaida?