Nyumba za Dar zinazouzwa bilioni tano, zinastahili?

Hapana hii ni money laundry,hizi ni kodi za wananchi zinatafunwa na wajanja wachache.

Ndio maana eneo linalouzwa billion 5 ukikuta tayari limenunuliwa,huwezi kumjua mnunuaji moja kwa moja.

Itapita miaka kadhaa utasikia ***** ***** wanasema ni jengo la mke wa mwigulu.
Kwa mbali sana.
 
D
Nimejaribu kuwaza thamani ya baadhi ya nyumba za kuishi zinazouzwa kwenye Jiji la Dar es salaam kama zina thamani inayotajwa, Bado sijapata jibu.

Hivi nyumba inawezaje kuuzwa kwa bei ya shilingi bilioni tano kama hakuna dhana ya utakatishaji fedha ndani mwake?

Ni thamani ya Hela yetu imeshuka ama upatikanaji wake umekuwa rahisi kiasi kwamba mtu kutoa bilioni tano kwa ajili ya kununua nyumba ya kulala tu lionekane ni jambo la kawaida?
Dsm kuna nyumba za mbavu za mbwa zinauzwa bei ghali kuliko hata nyumba zilizopo New York Marekani, sijui huwa wanapanga hizo bei kwa vigezo gan
 
Nimejaribu kuwaza thamani ya baadhi ya nyumba za kuishi zinazouzwa kwenye Jiji la Dar es salaam kama zina thamani inayotajwa, Bado sijapata jibu.

Hivi nyumba inawezaje kuuzwa kwa bei ya shilingi bilioni tano kama hakuna dhana ya utakatishaji fedha ndani mwake?

Ni thamani ya Hela yetu imeshuka ama upatikanaji wake umekuwa rahisi kiasi kwamba mtu kutoa bilioni tano kwa ajili ya kununua nyumba ya kulala tu lionekane ni jambo la kawaida?
Siyo tu kuuzwa kwa nyumba, bali hata kupangisha bei zimekuwa za juu mpaka unashangaaa.

Eti siku hizi chumba "Master-Bedroom" huko kinondoni ni Laki 8 kwa mwezi na dalali anapewa ya mwezi. Unabaki unajiuliza hizi bei kwenye "Housing" kitu ambacho ni hitaji la msingi kwa binadamu nani anapanga bei za hovyo hivi ???

Kisheria hizi tunaita SPECULATION, jambo ambalo huwa linaleta madhara mno baadaye kwa uchumi wa nchi kama likiendelea kuchekewa. Hili linaweza kupelekea mfumuko wa bei na mianya ya UTAKATISHAJI.

Watu wachache mno watakuelewa kwenye hili....
​
 
Nimejaribu kuwaza thamani ya baadhi ya nyumba za kuishi zinazouzwa kwenye Jiji la Dar es salaam kama zina thamani inayotajwa, Bado sijapata jibu.

Hivi nyumba inawezaje kuuzwa kwa bei ya shilingi bilioni tano kama hakuna dhana ya utakatishaji fedha ndani mwake?

Ni thamani ya Hela yetu imeshuka ama upatikanaji wake umekuwa rahisi kiasi kwamba mtu kutoa bilioni tano kwa ajili ya kununua nyumba ya kulala tu lionekane ni jambo la kawaida?
Kwani unaishi pande gani ya nchi Mkuu!
 
Yaani TZ nyumba ni bei ghali sana kuliko hata L.A beach front au hata bacelona ulaya.

Nilikuwa naanagalia Ulaya Nyumba kubwa tu sqm 963 kiwanja na furnished inauzwa Euro laki 4 na 30.
ambayo ni around 1.4B lakini ukienda k/Koo kiwanja cha sqm 400 kinauzwa bilioni 2
Unafananisha L.A na NY maeneo potential ya Dar es salaam ndiyo NY ya TZ.
 
Watu wananunua location sio nyumba....
Hiyo "location" umaalum wake ni nini. Na jee aina hiyo ya location ikilinganishwa na location kama hiyo ya miji mikubwa duniani inaweza kufanana?

Kama bei ya nyumba ya Dar es salaam inazidi bei ya nyumba kwenye majiji makubwa kama vile New York, Dubai, London au Hong Kong, bei hiyo inahalalishwa na nini?
 
Unafananisha L.A na NY maeneo potential ya Dar es salaam ndiyo NY ya TZ.
Soma vizuri ,nimesema bei za nyumba TZ zinazidi hadi Bei za Ulaya na America LA/NY - Ulaya unapata nyumba Full Furnished kwa 1.4B wakati TZ ukienda K/koo kiwanja cha sqm 400 kinauzwa 2B halafu ni kiwanja tu hakuna jengo.

1777540242784.png
 
Ni moja ya ishara kuwa uchumi ni mbovu. Watu wenye mitaji hawaoni sehemu salama ya kuwekeza zaidi ya real estates. Ingekuwa wanaweza kununua hisa kwenye makampuni, kuanzisha hayo makampuni, kwenye kilimo, uvuvi na biashara zingine isingekuwa hivi. Watu wengi wakipeleka pesa kwenye real estates basi gharama yake inafumuka.
 
Nimejaribu kuwaza thamani ya baadhi ya nyumba za kuishi zinazouzwa kwenye Jiji la Dar es salaam kama zina thamani inayotajwa, Bado sijapata jibu.

Hivi nyumba inawezaje kuuzwa kwa bei ya shilingi bilioni tano kama hakuna dhana ya utakatishaji fedha ndani mwake?

Ni thamani ya Hela yetu imeshuka ama upatikanaji wake umekuwa rahisi kiasi kwamba mtu kutoa bilioni tano kwa ajili ya kununua nyumba ya kulala tu lionekane ni jambo la kawaida?
Achana na nyumba kuna viwanja oysterbay na masaki robotatu acre ni 6bil na zinatembea mnoooo..,....nimepita juzi nyumba Mh Warioba imevunjwa yote tayari uwekezaji.....bei ndio hizo plus uwekezaji wenza
 
Back
Top Bottom