Nyumba za Dar zinazouzwa bilioni tano, zinastahili?

Nyumba za Dar zinazouzwa bilioni tano, zinastahili?

Nadhani ni demand kubwa kwenye hizo location
kwa sisi tunaoishi vijijini tunayaona hayo. Ukihitaji eneo kijijini center utapigwa bei ya kiwanja sawasawa na bei za mijini
 
Nimejaribu kuwaza thamani ya baadhi ya nyumba za kuishi zinazouzwa kwenye Jiji la Dar es salaam kama zina thamani inayotajwa, Bado sijapata jibu.

Hivi nyumba inawezaje kuuzwa kwa bei ya shilingi bilioni tano kama hakuna dhana ya utakatishaji fedha ndani mwake?

Ni thamani ya Hela yetu imeshuka ama upatikanaji wake umekuwa rahisi kiasi kwamba mtu kutoa bilioni tano kwa ajili ya kununua nyumba ya kulala tu lionekane ni jambo la kawaida?
Utakatishaji pesa, ndio maana nyumba hizo nyingi zinanunuliwa na taasisi za kiserikali Sheikh
 
Yaani TZ nyumba ni bei ghali sana kuliko hata L.A beach front au hata bacelona ulaya.

Nilikuwa naanagalia Ulaya Nyumba kubwa tu sqm 963 kiwanja na furnished inauzwa Euro laki 4 na 30.
ambayo ni around 1.4B lakini ukienda k/Koo kiwanja cha sqm 400 kinauzwa bilioni 2
Tanzania ni li nchi kuuuubwa jinga la kitapeli linalojiendesha kijambazi
 
Mkuu kuna maeneo yana hiyo thamani: sqm 4000 beach plot masaki na Oysterbay ni Bilioni 6-8 na siyo rahisi kupata. Mdau anashangaa bei ya Nyumba ila determinant ya value ni location kama alivyosema. Mathalani, Bei ya kiwanja na rent ya North London ni tofauti sana Nottingham au Wolverhampton. Kadhalika bei ya Manhattan au Mount Vernon ni Tofauti sana na Bronx. Kadhalika bei/rent ya Bunju na Oysterbay/Masaki ni tofauti sana.
Kwenye sqm 4000 Masaki Sea Cliff unaweza ukajenga Villa 8 ambazo kila moja ikakuingizia 10m per month jumla 80m kwa mwezi na kwa mwaka 960m. Hivyo, kwa maeneo hayo siyo ajabu mtu kununua beach plot 6 bilioni Masaki kwani kibiashara panalipa. Chama msingi ni namna ya kupata mtaji, je ni watanzania wangapi wana uwezo wa kumiliki 5-8 bilion?
Ni ujanja ujanja tu bado
 
Ni moja ya ishara kuwa uchumi ni mbovu. Watu wenye mitaji hawaoni sehemu salama ya kuwekeza zaidi ya real estates. Ingekuwa wanaweza kununua hisa kwenye makampuni, kuanzisha hayo makampuni, kwenye kilimo, uvuvi na biashara zingine isingekuwa hivi. Watu wengi wakipeleka pesa kwenye real estates basi gharama yake inafumuka.
Hii inaweza kuwa sababu ya kueleweka sana.
 
Achana na nyumba kuna viwanja oysterbay na masaki robotatu acre ni 6bil na zinatembea mnoooo..,....nimepita juzi nyumba Mh Warioba imevunjwa yote tayari uwekezaji.....bei ndio hizo plus uwekezaji wenza
Ile ya haile sellable road au

Ova
 
Unataka wauze bei gani mkuu??

Ova
Sasa tuje kwenye hoja... Mtu ananunua nyumba kwa shilingi bilioni 5, anaweza kuonesha hizo bilioni 5 zimetokana na biashara gani?

Unajua kuwa bilioni 5 ni asilimia kumi ya bilioni 50. Huyo mnunuzi anaweza kutuonesha biashara anayofanya na faida yake baada ya Kodi?

Wauzaji na wanunuzi wa hizo nyumba wanaweza kutuonesha kama baada ya kuuza na kununua wamelipa kodi stahiki za Serikali?
 
Nimejaribu kuwaza thamani ya baadhi ya nyumba za kuishi zinazouzwa kwenye Jiji la Dar es salaam kama zina thamani inayotajwa, Bado sijapata jibu.

Hivi nyumba inawezaje kuuzwa kwa bei ya shilingi bilioni tano kama hakuna dhana ya utakatishaji fedha ndani mwake?

Ni thamani ya Hela yetu imeshuka ama upatikanaji wake umekuwa rahisi kiasi kwamba mtu kutoa bilioni tano kwa ajili ya kununua nyumba ya kulala tu lionekane ni jambo la kawaida?
Bila picture ni ngumu kujadili.
 
Unrealistic prices. Ni kwa sababu sekta haipo regulated. Haiwezekani nchi yenye uchumi dhaifu iking'ara kwenye nchi maskini duniani iwe na bei 10 digits kwenye maeneo ambayo hata hayafiki viwango vya satellite cities let alone hakuna sehemu Tanzania penye hadhi ya jiji
Hivi sqmt 1 huko obay na masaki inakwendaje ki serikali
Najuwa iko in terms of $??

Ova
 
Mkuu kuna maeneo yana hiyo thamani: sqm 4000 beach plot masaki na Oysterbay ni Bilioni 6-8 na siyo rahisi kupata. Mdau anashangaa bei ya Nyumba ila determinant ya value ni location kama alivyosema. Mathalani, Bei ya kiwanja na rent ya North London ni tofauti sana Nottingham au Wolverhampton. Kadhalika bei ya Manhattan au Mount Vernon ni Tofauti sana na Bronx. Kadhalika bei/rent ya Bunju na Oysterbay/Masaki ni tofauti sana.
Kwenye sqm 4000 Masaki Sea Cliff unaweza ukajenga Villa 8 ambazo kila moja ikakuingizia 10m per month jumla 80m kwa mwezi na kwa mwaka 960m. Hivyo, kwa maeneo hayo siyo ajabu mtu kununua beach plot 6 bilioni Masaki kwani kibiashara panalipa. Chama msingi ni namna ya kupata mtaji, je ni watanzania wangapi wana uwezo wa kumiliki 5-8 bilion?
 
Siyo tu kuuzwa kwa nyumba, bali hata kupangisha bei zimekuwa za juu mpaka unashangaaa.

Eti siku hizi chumba "Master-Bedroom" huko kinondoni ni Laki 8 kwa mwezi na dalali anapewa ya mwezi. Unabaki unajiuliza hizi bei kwenye "Housing" kitu ambacho ni hitaji la msingi kwa binadamu nani anapanga bei za hovyo hivi ???
​
Mtu ajenge nyumba yake halafu sisi tunataka tumpangie bei jinsi ya kuzipangisha? 🤔

Mkuu, sio kila nyumba Kinondoni utalipa "chumba master" kwa Laki 8 kwa mwezi.
Zipo mpaka za 200k, 150k, 120k, n.k. ni wewe tu kuchagua.

Hizo za laki 8 kwa chumba master tu, hizo huwa mara nyingi wanaokuwa targeted ni expatriate (foreigners) wenye middle to high income.

Hili linaweza kupelekea mfumuko wa bei na mianya ya UTAKATISHAJI.​
Kuhusu ishu ya utakatishaji fedha, ndiyo inawezekana pia ikawa ni sabb moja wapo.
 
Hivi sqmt 1 huko obay na masaki inakwendaje ki serikali
Najuwa iko in terms of $??

Ova
Unajua haya mambo ya mita mraba inauzwa kwa shilingi ngapi, yana kanuni zake.

Bei ya nyumba kuuzwa bilioni hizo 5 nyuma yake lazima kuna Hela chafu.
 
Eti siku hizi chumba "Master-Bedroom" huko kinondoni ni Laki 8 kwa mwezi na dalali anapewa ya mwezi. Unabaki unajiuliza hizi bei kwenye "Housing" kitu ambacho ni hitaji la msingi kwa binadamu nani anapanga bei za hovyo hivi ???​
Hao Foreigners expatriate wanachukua asilimia ngapi ya wapangaji wa hizo nyumba huko Kinondoni?
Hebu tusaidie tupatie ripoti..
je ni wabongo wangapi wanalipa "chumba kimoja master" kwa 800k per month huko Kinondoni, Sinza, Masaki au O'bey.?

ila unaweza kuokoteza expatriate (foreigners) kadhaa walio tayari kulipa hiyo.
That's why nikakwambia wamiliki wa hizo huwa wanatarget zaidi expatriate coz hiyo ni mitaa inayopendwa na expatriates.
 
ipo hiviiii, TZ bado inayo milki kubwa ya ardhi.
So wakuu nunueni za maeneo mengine huko kama mkishindwa kununua hizo za Masaki, O'bey, Ada Estate, Upanga, Mikocheni, Mbweni.

Sio lazma wote tuwe Masaki, Msasani, O'bey.

Na hii huwa ipo karibu nchi zote duniani, kila nchi huwa kuna mitaa ya "ushuani" ambapo bei ni "kali"

Na wakati mwingine mipango miji, properties and land valuation officers huwa wanapanga hivyo miji.

Pia cost za ujenzi ni tofauti kutokana na materials yaliyotumika, unaweza kuona nyumba mbili zinazofanana in architectural way ila bei zikawa tofauti sabb ya materials yaliyotumika. (hili nalo lisipuuzwe)

Na location! Location! Location! ni factor nyingine muhimu kwenye bei katika real estate market.
 
Back
Top Bottom