mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Mimi hizo bei hata sishangaiipo hiviiii, TZ bado inayo milki kubwa ya ardhi.
So wakuu nunueni za maeneo mengine huko kama mkishindwa kununua hizo za Masaki, O'bey, Ada Estate, Upanga, Mikocheni, Mbweni.
Sio lazma wote tuwe Masaki, Msasani, O'bey.
Na hii karibu nchi zote duniani zipo hivyo huwa kuna mitaa ya "ushuani" ambapo bei ni "kali"
Kenya ina ardhi kidogo sana ukilinganisha na Tanzania.Mimi hizo bei hata sishangai
Maana hata hapo nairobi maeneo ya karen bei ni balaa tu
Ova
Mtu ajenge nyumba yake halafu sisi tunataka tumpangie bei jinsi ya kuzipangisha? 🤔
Mkuu, sio kila nyumba Kinondoni utalipa "chumba master" kwa Laki 8 kwa mwezi.
Zipo mpaka za 200k, 150k, 120k, n.k. ni wewe tu kuchagua.
Hizo za laki 8 kwa chumba master tu, hizo huwa mara nyingi wanaokuwa targeted ni expatriate (foreigners) wenye middle to high income.
Kuhusu ishu ya utakatishaji fedha, ndiyo inawezekana pia ikawa ni sabb moja wapo.
legalclarity.org
Hebu tusaidie tupatie ripoti..
je ni wabongo wangapi wanalipa "chumba kimoja master" kwa 800k per month huko Kinondoni, Sinza, Masaki au O'bey.?
ila unaweza kuokoteza expatriate (foreigners) kadhaa walio tayari kulipa hiyo.
That's why nikakwambia wamiliki wa hizo huwa wanatarget zaidi expatriate coz hiyo ni mitaa inayopendwa na expatriates.
Mimi hizo bei hata sishangai
Maana hata hapo nairobi maeneo ya karen bei ni balaa tu
Ova
Kweli kipindi cha magu real estate bei ilishuka sanaBei hizi ni uhuni tu.
Kitaani kwetu kipindi cha cheki-bobu tuliwahi kuwapangisha wafanyakazi wa E.U nyumba ya Square-metres 194 kwa dola 3,000 kwa mwezi. Walilipa ya mwaka mzima. Baada ya kuingia Msukuma zikashuka tukaanza kupangisha dola 800 hadi 1500, fully furnished.
Nakubali kabisa sehemu kama The Peninsula nyumba lazima ziwe za gharama kuliko sehemu nyingine kwasababu ni Prime Area, lakini kiwango ambacho kinapangwa siku hizi kwenye kuuza ni hatari mno hadi unabaki mdomo wazi. BEYOND THE MARKET VALUE....
ENIWEI, hii mada watanzania wengi watashabikia kwasababu hawajawahi kufanya Real Estate, lakini tusipodhibiti hii michezo miaka 10 ijayo hali itakuwa mbaya mno kwenye mikoa kama DSM, Arusha na Dodoma.
Dola milion 7Kweli kipindi cha magu real estate bei ilishuka sana
Sahvi naona mambo yamepaa
Wanaopaisha wengine ni madalali au wanaopewa properties kuuza
Mfano kuna jaji mmoja mstaafu namjuwa ana sehemu toure drive ananiambia anauza sehemu yake lkn anataka $mln 7 😄
Si mchezo,kuna mhindi mmoja nlimconnect nayeDola milion 7
Hehehe
location naenda Upanga kaulizie ya majengo ya zamani bei yakeNimejaribu kuwaza thamani ya baadhi ya nyumba za kuishi zinazouzwa kwenye Jiji la Dar es salaam kama zina thamani inayotajwa, Bado sijapata jibu.
Hivi nyumba inawezaje kuuzwa kwa bei ya shilingi bilioni tano kama hakuna dhana ya utakatishaji fedha ndani mwake?
Ni thamani ya Hela yetu imeshuka ama upatikanaji wake umekuwa rahisi kiasi kwamba mtu kutoa bilioni tano kwa ajili ya kununua nyumba ya kulala tu lionekane ni jambo la kawaida?
Wakuu Tz kikatiba ni nchi ya kijamaa lakini tangu 1985 baada mchonga kuachia, TZ ni Taifa la Uchumi huru ambapo 95% ya bei za biadhaa mbalimbali ikiwemo ardhi uamuliwa na nguvu ya soko (supply & Demand). Serikali haiweki mkono isipokuwa tu pale Serikali inapotaka kutaifisha kwa maslahi ya umma.
Hivyo hakuna mtu anayepanga bei ya ardhi ispokuwa nguvu ya soko! Aidha hakuna anayelazimisha kuuza ardhi yake wala kununua, ni suala la hiari kati ya mnunuzi na muuzaji! ukielewa ukweli huu haitakupa shida kujua nani anapanga bei. Kama kweli bei ingekuwa haiakisi uhalisia viwanja vya bei kubwa vingekuwa vinadoda sokoni na hatiimaye kushuka bei.
Kihistoria Mikocheni yalikuwa mashamba ya mpunga na kulikuwa na chui hadi miaka ya 70. Msasani kulikuwa eneo wanalokaa vibarua hasa wamakonde walikuwa manamba kwenye mashamba ya katani ya Masaki. Sinza Kimara mbezi ilikuwa mashamba ya wazaramu. Mji uliishia Magomeni na Temeke. Kwa ufupi Temeke, Tandika na magomeni palikuwa na thamani kubwa kuliko Mikocheni na Sinza. Bunju na Mbweni hadi 1995 kulikuwa mashamaba. Lakini kutokana na uwepo wa beach na ukaribu wa Oysterbay na maeneo ya mikocheni/msasani/ masaki bei ya maeneo husika nayo yamepanda thamani. Kwa msingi huo huo mikocheni inaiambukiza Mbezi Beach thamani. Mbezi Beach inaambukiza Kunduchi, ununio, bahari beach, mbweni n.k. hakuna uchawi ni location tu.
Lakini nguvu ya soko imefanya thamani ya Mikocheni na Msasani ipande kuliko magomeni na temeke. Tunaweza kubishana based on opinion na matamanio binafsi lakini bei ya ardhi inaamuliwa na location- wapi, location -majirani, location-upande gani ( kona, baharini, rami n.k) location ndio kila kitu.
Bei ya undevelpoed plot ya Sqm 1000 msasani beach ni kubwa kuliko heka mbili zzenye nyumba ya ghorofa 5 Chanika. Apartment ya vyumba 4 Palm Village ni milioni 650 wakati maghorofa ya NSSF yenye eneo la sqm 800 yaliyopo Mtoni kijichi na kigamboni yalikuwa yanauzwa milioni 250 tu yalidoda baada ya kukosa soko. Project ya NSSF Kigamboni imezama vibaya kwa sababu Dr DAU hakuzingatia factor ya location.
Wenzatu wachina, waarabu na wahindi wanaijua siri hii kitambo ndio maana wamenunua sana maeneo prime mengi kariokoo, mikocheni, upanga n.k. Sisi waswahiri tumezubaa na hatuamini katika fact ndio maana tunabisha na kupingana na ukweli kwa kutumia hisia badala ya utafiti. Mwaka 1996 nilikuwa nakatisha Kariakoo kwenda Azania nilikuwa nawaona wabibi waswahili wakimiliki majengo ya udongo kariakoo hasa upande wa mtaa wa lumumba hadi gerezani mpaka jangwani klabu ya yanga, lakini leo maeneo hayo yamechukuliwa na wageni. Wageni walionunua maeneo hayo wamekuwa matajiri wa nguvu. watoto wa kariakoo wa enzi hizo wakiwemo akina Manara walikuwa hawana ufahamu kuwa ardhi ya kariakoo ni mgodi wa dhahabu, leo wote wapo kimbiji, majimatitu na mapinga wanapambana na hali.
Hivi sasa waswahili tunavyobishana bila kuwa fact, wenzetu wachina na waarabu wakiongozwa na tajiri wa Yanga wapo busy wananunua maeneo prime kwa kasi katika maeneo ya msasani, kinondoni, mwananyamla na magomeni. Hakika nawaambia Miaka 10 ijayo Kinondoni na mwananyamala yote hata uswahilini kutakuwa hakushikiki kwa bei kwani kutanunuliwa na kuendelezwa vizuri.
Hapo ni jijini au kijijini mnadani?Unaona hio nyumba kama hizo ni ya tope imepigwa ripu tu, ziko hapo kariakoo, kaulize bei ulete mrejesho
View attachment 3582180
Najua umetumia neno siasa as sarcasm, ila mkuu ngoja nikuchallenge..Vijana wa kitanzania bwana.
Hili ndilo tatizo lenu kubwa: MNAPENDA SANA SIASA.
Kwani hizo nyumba wamewa-target wananchi wa kawaida wenye hicho kipato ulichokitaja hapo juu? 🤔kwenye uchumi hatuangalii bei, tunaangalia kipato cha mwananchi kwa muda (Income) growth vs mfumuko wa bei (Inflation). Nchi ya Tanzania kipato cha mtanzania wa kawaida kwa siku ni elfu 3000-4000, ambayo kwa mwezu ni kama TZS 120,000, hizo nyumba zinavyopanda bei nani anaweza kulipa na hali hii ya uchumi ilivyokuwa ngumu ???
Okay, nitaicheki.Kukusaidia tu, mwaka huu kulikuwa na kitu kinatwa AFRICAN URBAN FORUM kule Kenya ambapo mawaziri wetu na viongozi walihudhuria. Mjadala mkubwa ulikuwa ni "Affordable Housing", ambapo zilizungumzwa hoja nyingi mno za kitaaalamu, moja wapo ni ubora wa nyumba na bei za kupanga. Katafute kuna mambo mazuri sana yalijadiliwa.
Nyumba za urithi hizo Kariakoo..Hapo ni jijini au kijijini mnadani?
wala hata. ipo kwa tshs. ni laki 5 mpaka laki 8 mkuu. sema ndiyo hivyo nchi ya kijambaziHivi sqmt 1 huko obay na masaki inakwendaje ki serikali
Najuwa iko in terms of $??
Ova
Kigumu kipi kuelewa hapa? Watu wanatoa mifano majiji makubwa yenye kipato kikubwa bei za nyumba ni Sawa au pungufu ya kwa bei za nyumba za maeneo yetu ya kishua, na hiyo athari haiishii huko, itaenda hadi huko unakosema sio kwa kishua, sehemu ambayo mtu angeweza kununua kiwanja kwa milioni 2 au 5, ataambiwa atoe milioni 15 au 20. Kimsingi sekta ya ardhi na nyumba imekosa udhibiti, kuna uholela unaopelekea wengi wasio na vipato vikubwa hawawezi kumudu kuishi kwenye nyumba nzuri na maeneo ambayo huduma za msingi zipo karibu.ipo hiviiii, TZ bado inayo milki kubwa ya ardhi.
So wakuu nunueni za maeneo mengine huko kama mkishindwa kununua hizo za Masaki, O'bey, Ada Estate, Upanga, Mikocheni, Mbweni.
Sio lazma wote tuwe Masaki, Msasani, O'bey.
Na hii huwa ipo karibu nchi zote duniani, kila nchi huwa kuna mitaa ya "ushuani" ambapo bei ni "kali"
Na wakati mwingine mipango miji, properties and land valuation officers huwa wanapanga hivyo miji.
Pia cost za ujenzi ni tofauti kutokana na materials yaliyotumika, unaweza kuona nyumba mbili zinazofanana ni architectural way ila bei zikawa tofauti sabb ya materials yaliyotumika. (hili nalo lisipuuzwe)
Na location! Location! Location! ni factor nyingine muhimu kwenye bei katika real estate market.