Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Nchi INAHONDOMOLEWA na wajanja wachache.Nimejaribu kuwaza thamani ya baadhi ya nyumba za kuishi zinazouzwa kwenye Jiji la Dar es salaam kama zina thamani inayotajwa, Bado sijapata jibu.
Hivi nyumba inawezaje kuuzwa kwa bei ya shilingi bilioni tano kama hakuna dhana ya utakatishaji fedha ndani mwake?
Ni thamani ya Hela yetu imeshuka ama upatikanaji wake umekuwa rahisi kiasi kwamba mtu kutoa bilioni tano kwa ajili ya kununua nyumba ya kulala tu lionekane ni jambo la kawaida?
Yaani TZ nyumba ni bei ghali sana kuliko hata L.A beach front au hata bacelona ulaya.Nimejaribu kuwaza thamani ya baadhi ya nyumba za kuishi zinazouzwa kwenye Jiji la Dar es salaam kama zina thamani inayotajwa, Bado sijapata jibu.
Hivi nyumba inawezaje kuuzwa kwa bei ya shilingi bilioni tano kama hakuna dhana ya utakatishaji fedha ndani mwake?
Ni thamani ya Hela yetu imeshuka ama upatikanaji wake umekuwa rahisi kiasi kwamba mtu kutoa bilioni tano kwa ajili ya kununua nyumba ya kulala tu lionekane ni jambo la kawaida?
Bei ya nyumba inafanana na Thamani ya fedha inayolipwa?Pointi yako nini hapo bado hujaeleweka
Mara nyingi wanaosema hivi wenyewe huwa hawana hela.Watakwambia tafuta hela.
Inatokana ni nyumba Gani na ipo Dar sehemu Gani?Hazina thamani hiyo.Ujanjaujanja mwingi na mazingaombwe tu.
NB:Apongezwe "mama" na ripoti zake kwa kupandisha thamani ya majengo mabovu.Hata kama biblia ikiandikwa leo, lazima uwezo wake utaandikwa kwa wino wa dhahabu.
Teh teh teh!
Ndiyo zinauzwa Bei hiyo... Jee zinastahili? Huko Masaki, Oysterbay na mbweni Kuna kitu gani kinachofanya nyumba ziuzwe Kwa Bei hiyo?Inatokana ni nyumba Gani na ipo Dar sehemu Gani?
Kama mikocheni, Mbweni, Oystabay na nyumba ina flow 2 na kuendelea inaweza uzwa iyo bei
Yaah zinastahili kabisaNdiyo zinauzwa Bei hiyo... Jee zinastahili? Huko Masaki, Oysterbay na mbeni Kuna kitu gani kinachofanya nyumba ziuzwe Kwa Bei hiyo?
Hii kitu ni kweli kabisa mkuu. Kuna mtu namfahamu amenunua hekalu kabisa huko California kwa 2.3 Billion za Tz.Yaani TZ nyumba ni bei ghali sana kuliko hata L.A beach front au hata bacelona ulaya.
Nilikuwa naanagalia Ulaya Nyumba kubwa tu sqm 963 kiwanja na furnished inauzwa Euro laki 4 na 30.
ambayo ni around 1.4B lakini ukienda k/Koo kiwanja cha sqm 400 kinauzwa bilioni 2
Factors zinazoendesha real estate valuation ni location, location and location. Bei ya property iliyoko kwenye prime area ya big city sio size yako na yangu!Nimejaribu kuwaza thamani ya baadhi ya nyumba za kuishi zinazouzwa kwenye Jiji la Dar es salaam kama zina thamani inayotajwa, Bado sijapata jibu.
Hivi nyumba inawezaje kuuzwa kwa bei ya shilingi bilioni tano kama hakuna dhana ya utakatishaji fedha ndani mwake?
Ni thamani ya Hela yetu imeshuka ama upatikanaji wake umekuwa rahisi kiasi kwamba mtu kutoa bilioni tano kwa ajili ya kununua nyumba ya kulala tu lionekane ni jambo la kawaida?
Dar kuna utapeli, hapo masaki au obey katika hali ya kawaida hakuna kuuziana viwanja kwa hiyo bei ya 6-10 billions, huo ni wizi wa mchana kweupeMkuu kuna maeneo yana hiyo thamani: sqm 4000 beach plot masaki na Oysterbay ni Bilioni 6-8 na siyo rahisi kupata. Mdau anashangaa bei ya Nyumba ila determinant ya value ni location kama alivyosema. Mathalani, Bei ya kiwanja na rent ya North London ni tofauti sana Nottingham au Wolverhampton. Kadhalika bei ya Manhattan au Mount Vernon ni Tofauti sana na Bronx. Kadhalika bei/rent ya Bunju na Oysterbay/Masaki ni tofauti sana.
Kwenye sqm 4000 Masaki Sea Cliff unaweza ukajenga Villa 8 ambazo kila moja ikakuingizia 10m per month jumla 80m kwa mwezi na kwa mwaka 960m. Hivyo, kwa maeneo hayo siyo ajabu mtu kununua beach plot 6 bilioni Masaki kwani kibiashara panalipa. Chama msingi ni namna ya kupata mtaji, je ni watanzania wangapi wana uwezo wa kumiliki 5-8 bilion?