King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Sure ,hata AY Amenunua mjengo USA kwa 600m.Hii kitu ni kweli kabisa mkuu. Kuna mtu namfahamu amenunua hekalu kabisa huko California kwa 2.3 Billion za Tz.
😀😀😀Nchi INAHONDOMOLEWA na wajanja wachache.
Mwingine anakwambia kajenga ghorofa kwa kubet.
All in all MONEY LAUNDRY iliyopo bongo kwa sasa ni level ya world cup
Dsm kuna nyumba za mbavu za mbwa zinauzwa bei ghali kuliko hata nyumba zilizopo New York Marekani, sijui huwa wanapanga hizo bei kwa vigezo ganNimejaribu kuwaza thamani ya baadhi ya nyumba za kuishi zinazouzwa kwenye Jiji la Dar es salaam kama zina thamani inayotajwa, Bado sijapata jibu.
Hivi nyumba inawezaje kuuzwa kwa bei ya shilingi bilioni tano kama hakuna dhana ya utakatishaji fedha ndani mwake?
Ni thamani ya Hela yetu imeshuka ama upatikanaji wake umekuwa rahisi kiasi kwamba mtu kutoa bilioni tano kwa ajili ya kununua nyumba ya kulala tu lionekane ni jambo la kawaida?
Nimejaribu kuwaza thamani ya baadhi ya nyumba za kuishi zinazouzwa kwenye Jiji la Dar es salaam kama zina thamani inayotajwa, Bado sijapata jibu.
Hivi nyumba inawezaje kuuzwa kwa bei ya shilingi bilioni tano kama hakuna dhana ya utakatishaji fedha ndani mwake?
Ni thamani ya Hela yetu imeshuka ama upatikanaji wake umekuwa rahisi kiasi kwamba mtu kutoa bilioni tano kwa ajili ya kununua nyumba ya kulala tu lionekane ni jambo la kawaida?
Ndio utapeli huo wa Dar es SalaamKuna baadhi ya mitaa Kariakoo viwanja vimefika Bilioni saba. Nyumba za ghorofa tatu zinanunuliwa na kuvunjwa.
Kwani unaishi pande gani ya nchi Mkuu!Nimejaribu kuwaza thamani ya baadhi ya nyumba za kuishi zinazouzwa kwenye Jiji la Dar es salaam kama zina thamani inayotajwa, Bado sijapata jibu.
Hivi nyumba inawezaje kuuzwa kwa bei ya shilingi bilioni tano kama hakuna dhana ya utakatishaji fedha ndani mwake?
Ni thamani ya Hela yetu imeshuka ama upatikanaji wake umekuwa rahisi kiasi kwamba mtu kutoa bilioni tano kwa ajili ya kununua nyumba ya kulala tu lionekane ni jambo la kawaida?
Unafananisha L.A na NY maeneo potential ya Dar es salaam ndiyo NY ya TZ.Yaani TZ nyumba ni bei ghali sana kuliko hata L.A beach front au hata bacelona ulaya.
Nilikuwa naanagalia Ulaya Nyumba kubwa tu sqm 963 kiwanja na furnished inauzwa Euro laki 4 na 30.
ambayo ni around 1.4B lakini ukienda k/Koo kiwanja cha sqm 400 kinauzwa bilioni 2
Hiyo "location" umaalum wake ni nini. Na jee aina hiyo ya location ikilinganishwa na location kama hiyo ya miji mikubwa duniani inaweza kufanana?Watu wananunua location sio nyumba....
Soma vizuri ,nimesema bei za nyumba TZ zinazidi hadi Bei za Ulaya na America LA/NY - Ulaya unapata nyumba Full Furnished kwa 1.4B wakati TZ ukienda K/koo kiwanja cha sqm 400 kinauzwa 2B halafu ni kiwanja tu hakuna jengo.Unafananisha L.A na NY maeneo potential ya Dar es salaam ndiyo NY ya TZ.
Hii inashangaza sana...Soma vizuri ,nimesema bei za nyumba TZ zinazidi hadi Bei za Ulaya na America LA/NY - Ulaya unapata nyumba Full Furnished kwa 1.4B wakati TZ ukienda K/koo kiwanja cha sqm 400 kinauzwa 2B halafu ni kiwanja tu hakuna jengo.
Upo sahihi MkuuKuna baadhi ya mitaa Kariakoo viwanja vimefika Bilioni saba. Nyumba za ghorofa tatu zinanunuliwa na kuvunjwa.
Achana na nyumba kuna viwanja oysterbay na masaki robotatu acre ni 6bil na zinatembea mnoooo..,....nimepita juzi nyumba Mh Warioba imevunjwa yote tayari uwekezaji.....bei ndio hizo plus uwekezaji wenzaNimejaribu kuwaza thamani ya baadhi ya nyumba za kuishi zinazouzwa kwenye Jiji la Dar es salaam kama zina thamani inayotajwa, Bado sijapata jibu.