chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,434
- 4,500
Utakatishaji pesa, ndio maana nyumba hizo nyingi zinanunuliwa na taasisi za kiserikali SheikhNimejaribu kuwaza thamani ya baadhi ya nyumba za kuishi zinazouzwa kwenye Jiji la Dar es salaam kama zina thamani inayotajwa, Bado sijapata jibu.
Hivi nyumba inawezaje kuuzwa kwa bei ya shilingi bilioni tano kama hakuna dhana ya utakatishaji fedha ndani mwake?
Ni thamani ya Hela yetu imeshuka ama upatikanaji wake umekuwa rahisi kiasi kwamba mtu kutoa bilioni tano kwa ajili ya kununua nyumba ya kulala tu lionekane ni jambo la kawaida?
Madalali wa nyumba Tanzania ni majanga kwa sababu sio kazi inavyokuwa regulated, pia Dar es Salaam kuna ulimbukeni mkubwa na watu kupigwa sana kutokana na real estate kufanywa kienyeji zaidi.Bei ya nyumba inafanana na Thamani ya fedha inayolipwa?
Tanzania ni li nchi kuuuubwa jinga la kitapeli linalojiendesha kijambaziYaani TZ nyumba ni bei ghali sana kuliko hata L.A beach front au hata bacelona ulaya.
Nilikuwa naanagalia Ulaya Nyumba kubwa tu sqm 963 kiwanja na furnished inauzwa Euro laki 4 na 30.
ambayo ni around 1.4B lakini ukienda k/Koo kiwanja cha sqm 400 kinauzwa bilioni 2
Ni ujanja ujanja tu badoMkuu kuna maeneo yana hiyo thamani: sqm 4000 beach plot masaki na Oysterbay ni Bilioni 6-8 na siyo rahisi kupata. Mdau anashangaa bei ya Nyumba ila determinant ya value ni location kama alivyosema. Mathalani, Bei ya kiwanja na rent ya North London ni tofauti sana Nottingham au Wolverhampton. Kadhalika bei ya Manhattan au Mount Vernon ni Tofauti sana na Bronx. Kadhalika bei/rent ya Bunju na Oysterbay/Masaki ni tofauti sana.
Kwenye sqm 4000 Masaki Sea Cliff unaweza ukajenga Villa 8 ambazo kila moja ikakuingizia 10m per month jumla 80m kwa mwezi na kwa mwaka 960m. Hivyo, kwa maeneo hayo siyo ajabu mtu kununua beach plot 6 bilioni Masaki kwani kibiashara panalipa. Chama msingi ni namna ya kupata mtaji, je ni watanzania wangapi wana uwezo wa kumiliki 5-8 bilion?
Hii inaweza kuwa sababu ya kueleweka sana.Ni moja ya ishara kuwa uchumi ni mbovu. Watu wenye mitaji hawaoni sehemu salama ya kuwekeza zaidi ya real estates. Ingekuwa wanaweza kununua hisa kwenye makampuni, kuanzisha hayo makampuni, kwenye kilimo, uvuvi na biashara zingine isingekuwa hivi. Watu wengi wakipeleka pesa kwenye real estates basi gharama yake inafumuka.
Ile ya haile sellable road auAchana na nyumba kuna viwanja oysterbay na masaki robotatu acre ni 6bil na zinatembea mnoooo..,....nimepita juzi nyumba Mh Warioba imevunjwa yote tayari uwekezaji.....bei ndio hizo plus uwekezaji wenza
Sasa tuje kwenye hoja... Mtu ananunua nyumba kwa shilingi bilioni 5, anaweza kuonesha hizo bilioni 5 zimetokana na biashara gani?Unataka wauze bei gani mkuu??
Ova
Unrealistic prices. Ni kwa sababu sekta haipo regulated. Haiwezekani nchi yenye uchumi dhaifu iking'ara kwenye nchi maskini duniani iwe na bei 10 digits kwenye maeneo ambayo hata hayafiki viwango vya satellite cities let alone hakuna sehemu Tanzania penye hadhi ya jijiUnataka wauze bei gani mkuu??
Ova
Bila picture ni ngumu kujadili.Nimejaribu kuwaza thamani ya baadhi ya nyumba za kuishi zinazouzwa kwenye Jiji la Dar es salaam kama zina thamani inayotajwa, Bado sijapata jibu.
Hivi nyumba inawezaje kuuzwa kwa bei ya shilingi bilioni tano kama hakuna dhana ya utakatishaji fedha ndani mwake?
Ni thamani ya Hela yetu imeshuka ama upatikanaji wake umekuwa rahisi kiasi kwamba mtu kutoa bilioni tano kwa ajili ya kununua nyumba ya kulala tu lionekane ni jambo la kawaida?
Hivi sqmt 1 huko obay na masaki inakwendaje ki serikaliUnrealistic prices. Ni kwa sababu sekta haipo regulated. Haiwezekani nchi yenye uchumi dhaifu iking'ara kwenye nchi maskini duniani iwe na bei 10 digits kwenye maeneo ambayo hata hayafiki viwango vya satellite cities let alone hakuna sehemu Tanzania penye hadhi ya jiji
Mkuu kuna maeneo yana hiyo thamani: sqm 4000 beach plot masaki na Oysterbay ni Bilioni 6-8 na siyo rahisi kupata. Mdau anashangaa bei ya Nyumba ila determinant ya value ni location kama alivyosema. Mathalani, Bei ya kiwanja na rent ya North London ni tofauti sana Nottingham au Wolverhampton. Kadhalika bei ya Manhattan au Mount Vernon ni Tofauti sana na Bronx. Kadhalika bei/rent ya Bunju na Oysterbay/Masaki ni tofauti sana.
Kwenye sqm 4000 Masaki Sea Cliff unaweza ukajenga Villa 8 ambazo kila moja ikakuingizia 10m per month jumla 80m kwa mwezi na kwa mwaka 960m. Hivyo, kwa maeneo hayo siyo ajabu mtu kununua beach plot 6 bilioni Masaki kwani kibiashara panalipa. Chama msingi ni namna ya kupata mtaji, je ni watanzania wangapi wana uwezo wa kumiliki 5-8 bilion?
Mtu ajenge nyumba yake halafu sisi tunataka tumpangie bei jinsi ya kuzipangisha? 🤔Siyo tu kuuzwa kwa nyumba, bali hata kupangisha bei zimekuwa za juu mpaka unashangaaa.
Eti siku hizi chumba "Master-Bedroom" huko kinondoni ni Laki 8 kwa mwezi na dalali anapewa ya mwezi. Unabaki unajiuliza hizi bei kwenye "Housing" kitu ambacho ni hitaji la msingi kwa binadamu nani anapanga bei za hovyo hivi ???
Kuhusu ishu ya utakatishaji fedha, ndiyo inawezekana pia ikawa ni sabb moja wapo.Hili linaweza kupelekea mfumuko wa bei na mianya ya UTAKATISHAJI.
Unajua haya mambo ya mita mraba inauzwa kwa shilingi ngapi, yana kanuni zake.Hivi sqmt 1 huko obay na masaki inakwendaje ki serikali
Najuwa iko in terms of $??
Ova
Hao Foreigners expatriate wanachukua asilimia ngapi ya wapangaji wa hizo nyumba huko Kinondoni?.Hizo la laki 8 kwa chumba master tu, huwa mara nyingi wanakuwa targeted ni foreigners expatriate
Eti siku hizi chumba "Master-Bedroom" huko kinondoni ni Laki 8 kwa mwezi na dalali anapewa ya mwezi. Unabaki unajiuliza hizi bei kwenye "Housing" kitu ambacho ni hitaji la msingi kwa binadamu nani anapanga bei za hovyo hivi ???
Hebu tusaidie tupatie ripoti..Hao Foreigners expatriate wanachukua asilimia ngapi ya wapangaji wa hizo nyumba huko Kinondoni?
Yes hiyoo hiyoo...Ile ya haile sellable road au
Ova