Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Zile sio nyumba kwa kuwa na wao sio watu, hiyo ndio stahiki ya mijitu mikatili na miuajiNyumba za polisi ziboreshewe bhagwitu zile sio nyumba
Moto ni moto tu.Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linaendelea na uchunguzi wa tukio la moto lililotokea Julai 29, 2026 majira ya saa 7:35 mchana katika nyumba za Polisi Msambweni zilizopo eneo la Mapinduzi “A”, Kata ya Ngamiani Kusini, Wilaya ya Tanga.
Moto huo umeteketeza baadhi ya mali zilizokuwa ndani ya nyumba hizo, huku thamani ya mali zilizoharibika ikiwa bado haijafahamika. Juhudi za kuuzima zilifanyika kwa ushirikiano kati ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Polisi pamoja na wananchi.
Jeshi la Polisi limesema hakuna madhara yoyote kwa binadamu yaliyoripotiwa kutokana na tukio hilo, huku uchunguzi ukiendelea kubaini chanzo cha moto huo.
Unashangaa mtu anakuwa na roho ngumu vile ni nini kumbe maisha yake yenyewe yanamchapa zile ni nyumba basi?Zile sio nyumba kwa kuwa na wao sio watu, hiyo ndio stahiki ya mijitu mikatili na miuaji
Polisi sio ndugu yako fanya yote usiingie mikononi mwao iwe kwa baya au jema ni genge la wahuni … huwezi kujua mpaka siku upelekwe kwao au umpeleke mtu kwao. Waache hao mbwa wakae kwenye mabanda yaoNyumba za polisi ziboreshewe bhagwitu zile sio nyumba
Sema ya moyoni uuponye moyoSijui hata nawaza nini moyoni mwangu Ila
Umeulilia moto au umelilia mabanda yaliyoungua au umelilia matumizi mabaya ya maji?Nimelia sana
Huu👆🏾ujinga unaofanyika hapo ni uharibifu wa maji(matumizi mabaya ya maji ya umma).Hizi ndio nyumba ?😂.
Kweli hawa ndio mana wanashinda na mbwa mana wanaishi kama mbwa.
Top dogs Recognize real dogs.
Mbwa kabisa.
View attachment 3639592