Mkuu kwa uzoefu wangu katika ujenzi siku zote gharama za ujenzi hutegemea;
1. Landscape ya kiwanja chako kama kipo tambarare, bondeni au kilimani.
2. Umbali na upatikanaji wa materials kama maji, mchanga, kokoto, cements, mbao, mabati, nondo n.k hadi kufika hapo site kwako.
ANGALIZO.
Usiaminishe watu bei za kitonga mwisho wa siku ukaja kuonekana tapeli na ukizingatia bei ya materials hivisasa ipo juu.
Upo sahihi boss... Hizo kitaalamu zinaitwa variations na haziepukiki...
Ila
Variations hazitakiwi kuwa kikwazo cha kutowapatia Wateja wetu HINTS za nyumba zetu ambazo tumeandaa
Kikawaida mteja akija kwako kuuliza bei ya kujenga nyumba fulani ambayo umeandaa alafu ukasema sijui au ukaanza kuleta utaalamu mwingi... Itakuwa sio njia njema ya kudeal na mteja wako wa kawaida...
Lkn cha mwisho gharama za ujenzi Tanzania mikoa yote haziyofautiani sana... Average zipo sawa.
- tulishawahi andaa design moja ya nyumba na tukaandaa kabisa BoQ yake
--- kujenga Dar ilikuwa 42Mil
--- kujenga Mwanza ilikuwa 40Mil
--- kujenga Njombe ilikuwa 39Mil
So, kwa nyumba ile mteja akiiulizia gharama za awali sio mbaya kumwambia 40Mil
Have nice work sir
PIA TUNAZO RAMANI ZA NYUMBA NYINGINE ZAIDI YA 300 UNAZOWEZA PATA NA UZIJENGE POPOTE TANZANIA NA AFRIKA
Tunazo Ramani nyingi zaidi ya 300 zenye picha, michoro, makisio gharama ambazo unaweza chagua na kuzinunua... Ramani zetu tunauza nchi zote Afrika na baadhi worldwide kwa kupitia website zetu... siwezi weka link hapa sababu nitakuwa-banned
Ila
Fanya Hivi Kuchagua na Kupata Ramani Zetu
[emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji117] Nenda Google search: MAKAZI RAMANI
[emoji117] Nenda Play Store pakua App yetu: MAKAZI RAMANI
[emoji117] Nenda YouTube channel: MAKAZI NETWORK
Au
Nione WhatsApp nikupe links ktk namba: +255-657-685-268