Yudasti
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 1,002
- 1,443
M8 kwa room moja sawaGood idea...
Kwamba 8m inajenga nyumba imara kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
M8 kwa room moja sawaGood idea...
Kwamba 8m inajenga nyumba imara kabisa
Sawa sawa Mura
Hiyo inakuwa MSINGI, KUTA, PLASTA na PAA tuuMkuu unamaanisha hiyo milioni 16 nyumba inatoka kama hiyo ya kwenye picha...?
Nikimaanisha kila kitu kinakuwa tayari bado kuhamia tu au inakuwa bado finishing kiongozi...?
PIA TUNAZO RAMANI ZA NYUMBA NYINGINE ZAIDI YA 300 UNAZOWEZA PATA NA UZIJENGE POPOTE TANZANIA NA AFRIKA
Tunazo Ramani nyingi zaidi ya 300 zenye picha, michoro, makisio gharama ambazo unaweza chagua na kuzinunua.....
Boss hiyo nafasi ya dining ni ndogo fulanisasa kweli chumba kimoja cha kulala, dining ya nini sasa?
ukiwa single lia ata kitandani kwako tu.
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Yes boss... Ila pia tunazo nyumba nyingine kubwaGood idea...
Kwamba 8m inajenga nyumba imara kabisa
Karibu bossWazo zuri...
Ila nyie watu wa ajabu Sana,wateja wenu Ni waswahili wa bongo ,lakini kwenye matangazo ya Bei eti umeweka dola!!Gharama zimeoneshwa hapo bossView attachment 2076841
Upo sahihi boss...Kwa nilivyosoma hapo, hiyo bei iliyowekwa inajumuisha Design+Map+Foundation+Wall+Roof. Kwa kifupi hizo gharama zinaishia kwenye kupaua tu.
Hello mkuuHeading amesema unahamia kwa gharama ya 8m.
Sasa hii hoja yako hebu inyooshe
Upo sahihi boss... Hizo kitaalamu zinaitwa variations na haziepukiki...Mkuu kwa uzoefu wangu katika ujenzi siku zote gharama za ujenzi hutegemea;
1. Landscape ya kiwanja chako kama kipo tambarare, bondeni au kilimani.
2. Umbali na upatikanaji wa materials kama maji, mchanga, kokoto, cements, mbao, mabati, nondo n.k hadi kufika hapo site kwako.
ANGALIZO.
Usiaminishe watu bei za kitonga mwisho wa siku ukaja kuonekana tapeli na ukizingatia bei ya materials hivisasa ipo juu.
Yes... 8Mil unajenga CHUMBA KIMOJA, SEBULE-DINING-JIKO na CHOOM8 kwa room moja sawa
Mkuu nimeenda playstore nikisearch sipati makazi ramani, na makazi na nyingine nyingineUpo sahihi boss... Hizo kitaalamu zinaitwa variations na haziepukiki.....
Tumeweka TANZANIA SHILINGI na DOLA...Ila nyie watu wa ajabu Sana,wateja wenu Ni waswahili wa bongo ,lakini kwenye matangazo ya Bei eti umeweka dola!!
Hivi hapaMkuu nimeenda playstore nikisearch sipati makazi ramani, na makazi na nyingine nyingine
Asante nimeipata
[emoji122][emoji122][emoji122]Asante nimeipata
M8 kwa room moja sawa