House4Sale Nyumba zinauzwa maeneo mbalimbali
Hii nyumba hata tshs bil 1 huwezi pata mteja na sio nyumba ya kifahari hii, nyumba kama godown kwa nje, hivi hata kujua thamani halisi ya nyumba hamjui..!! Hii nyumba najenga kwa tshs mil 320 tena yenye structure nzuri kuliko hii…!!
Naunga mkono hoja ila milion 320M pengine kiwanja tu cha squre metre 2000 , Mbweni hupati
 
Back
Top Bottom