Nyumbani kumenoga: TTCL wamerudi kwenye mstari wao

Nyumbani kumenoga: TTCL wamerudi kwenye mstari wao

I am Groot

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
3,929
Reaction score
10,747
Siku mbili tu bila kutumia internet ni kama mwaka mzima gerezani. Ahsante sana Ttcl
Screenshot_20210403-214435_1617475748033.jpg
Screenshot_20210403-214353_1617475776159.jpg
Screenshot_20210403-215706_1617476267039.jpg


NB: Kama kawaida eneo ulilopo ndio litaamua speed ya mtandao
 
Ila nafikiri inategemea na eneo ulilopo mtumiaji
ndio tatizo la TTCL, wapo nyuma sana wenye coverage compare na wenzao kiasi mtu unaogopa ujiunga bando afu unatoka home mita tatu hamna internet
 
Naipataje hizo huduma, mana n muda mrefu sasa cjawasha lain yangu ya ttcl
 
Back
Top Bottom