Acha kabisa, hii hadi naogopa hasa za mshemsho.. huwa ni shidaa.. inakuwa kama inanituma sasa ππWee..hii ndo naiskia leo..hhahhaaha..chaji yako ni og nadhani!
Hahaha Safi sanaNipo mwanza, naanza ile mission.. mtu lazima apatikane [emoji2][emoji2][emoji2]
Acha kabisa, hii hadi naogopa hasa za mshemsho.. huwa ni shidaa.. inakuwa kama inanituma sasa ππ
Kuna Beach resort moja matata sana sjui bd ipo
Inaitwa, kinasi pale pako freshhhhh
Kabla sijavuka kutoka kilindoni kwenda jibondo
Lazima Nile pipi pale......
Ova
Wengine wanasema bataKula pipi ndo nini mkuu
Mbn umefunga pm chiefAcha kabisa, hii hadi naogopa hasa za mshemsho.. huwa ni shidaa.. inakuwa kama inanituma sasa [emoji3][emoji3]
Ngoja nifungue aiseeMbn umefunga pm chief
Kna ujumbe
Ova
Kumbe na mamen mnafunga pmNgoja nifungue aisee
Wadada wanatusumbua sana huko PM πππKumbe na mamen mnafunga pm
Wachaaa....hivi kweli??kwamba anakufata kwa minajili ya mapenzi?...chesusWadada wanatusumbua sana huko PM πππ
Sijui labda urafiki tu ππWachaaa....hivi kweli??kwamba anakufata kwa minajili ya mapenzi?...chesus
Ohh...hatariSijui labda urafiki tu ππ
Nani anaangalia hiyo Channel zaidi ya wenyeji wa Mafia na Kisiju?Hahaa hii safari Chanel wanarudiaga Sana kutangaza vivutio vile vile hata mafia wanaitangaza Sana...
Dah...Kuna some places nzuri hata Kama una stress zinakata kabisa!kwakweli dahππππ!
Dilek njoo hapa...
[emoji23][emoji23][emoji23]hii kali hadi mameni nao wanafunga PM daah.... huyu magu mungu anamuona...Mbn umefunga pm chief
Kna ujumbe
Ova
Swali linajibiwa kwa swali sio? daahWe upo wapi
Ah watu wanakwepa usumbufu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii kali hadi mameni nao wanafunga PM daah.... huyu magu mungu anamuona...
Sema huyu chiz wenu anajifanya kubanaaa ...subiri utanisikia siku moja Lamuππ..hofu yangu kusafiri usk mzima dahπ! Sema mishe sio toxic.
Hii picha ni ya mafia au ni zile mitandaoni ?