East Wind
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 2,783
- 6,058
Acha kabisa, hii hadi naogopa hasa za mshemsho.. huwa ni shidaa.. inakuwa kama inanituma sasa 😀😀Wee..hii ndo naiskia leo..hhahhaaha..chaji yako ni og nadhani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kabisa, hii hadi naogopa hasa za mshemsho.. huwa ni shidaa.. inakuwa kama inanituma sasa 😀😀Wee..hii ndo naiskia leo..hhahhaaha..chaji yako ni og nadhani!
Hahaha Safi sanaNipo mwanza, naanza ile mission.. mtu lazima apatikane [emoji2][emoji2][emoji2]
Acha kabisa, hii hadi naogopa hasa za mshemsho.. huwa ni shidaa.. inakuwa kama inanituma sasa 😀😀
Kuna Beach resort moja matata sana sjui bd ipo
Inaitwa, kinasi pale pako freshhhhh
Kabla sijavuka kutoka kilindoni kwenda jibondo
Lazima Nile pipi pale......
Ova
Wengine wanasema bataKula pipi ndo nini mkuu
Mbn umefunga pm chiefAcha kabisa, hii hadi naogopa hasa za mshemsho.. huwa ni shidaa.. inakuwa kama inanituma sasa [emoji3][emoji3]
Ngoja nifungue aiseeMbn umefunga pm chief
Kna ujumbe
Ova
Kumbe na mamen mnafunga pmNgoja nifungue aisee
Wadada wanatusumbua sana huko PM 😃😃😃Kumbe na mamen mnafunga pm
Wachaaa....hivi kweli??kwamba anakufata kwa minajili ya mapenzi?...chesusWadada wanatusumbua sana huko PM 😃😃😃
Sijui labda urafiki tu 🙂🙂Wachaaa....hivi kweli??kwamba anakufata kwa minajili ya mapenzi?...chesus
Ohh...hatariSijui labda urafiki tu 🙂🙂
Nani anaangalia hiyo Channel zaidi ya wenyeji wa Mafia na Kisiju?Hahaa hii safari Chanel wanarudiaga Sana kutangaza vivutio vile vile hata mafia wanaitangaza Sana...
Dah...Kuna some places nzuri hata Kama una stress zinakata kabisa!kwakweli dah😋😋😋😋!
Dilek njoo hapa...
[emoji23][emoji23][emoji23]hii kali hadi mameni nao wanafunga PM daah.... huyu magu mungu anamuona...Mbn umefunga pm chief
Kna ujumbe
Ova
Swali linajibiwa kwa swali sio? daahWe upo wapi
Ah watu wanakwepa usumbufu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii kali hadi mameni nao wanafunga PM daah.... huyu magu mungu anamuona...
Sema huyu chiz wenu anajifanya kubanaaa ...subiri utanisikia siku moja Lamu😆😆..hofu yangu kusafiri usk mzima dah🙌! Sema mishe sio toxic.
Hii picha ni ya mafia au ni zile mitandaoni ?