Nyumbani ni nyumbani, karibuni Mafia

Usisahau kunibeba na mimi
There you're... tena tutavuka bahari kwa mara ya pili na kuingia Chole Mjini! But don't worry, hii ya mara pili umbali ni mfupi sana; unaweza hata kuogelea hadi upande wa pili!
 
Sawa mpambanaji
 
Hahaa hii safari Chanel wanarudiaga Sana kutangaza vivutio vile vile hata mafia wanaitangaza Sana...

niliwahi kusema hili humu,ile channel wanapaswa waige Discovery channel au National Geographic.yani kwa kifupi hiyo channel hata mimi nikikabidhiwa kwa muda wa mwezi mmoja tu itavutia
wanapaswa kurusha vipindi vya usiku na mchana pamoja na kufanya utafiti kama wanaofanya National Geographic hadi mtu unavitiwa kutizama
 
Kama nataka nije kufanya biashara huko, nakuja kuuza au kununua nini ili tukuze uchumi?
 
Kila siku yaleyale .watakuambia hawana budget...na huku wanawalipa upinzan na kuwalipa wanamuziki 200! Utopolo mno hii nchi
 
Kila siku yaleyale .watakuambia hawana budget...na huku wanawalipa upinzan na kuwalipa wanamuziki 200! Utopolo mno hii nchi

umesema kweli kabisa.hapo ndipo wanakwama,yani unakuta kipindi kinarudiwa mara 20, alafu wao wamekalili kwamba utalii ni wanyama tu wakati tuna vivutio vingi vya Utalii
 
umesema kweli kabisa.hapo ndipo wanakwama,yani unakuta kipindi kinarudiwa mara 20, alafu wao wamekalili kwamba utalii ni wanyama tu wakati tuna vivutio vingi vya Utalii
Kwakweli tuna vivutio vingi Sana ..mno mno! Basi tu wenye nchi wameamua kuchukulia poa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…