Nyumbani ni nyumbani, karibuni Mafia

Wengine tukila samaki inakuwa kama power bank, mwili unawaka moto, ikipita sketi yaani ni taabu 🙃🙃🙃
Nlidhani hili linatokea mimi tu kumbe tupo aisee mi juzi tu nimekula wetdreams we acha tu
 
Mkuu samahani kama hutojali gharama kufika huko ni kiasi gani na pia cost za kustay kama siku 4 adi wiki ni kiasi gani kwa mdao uo nataka nije nipumzishe fuvu uko mara moja
Kutokea dar mpka huku elfu ishirini na moja unapanda gari mbagara nauli 5500 mpka nyamisati ukifika nyamisati unapanda kivuko kinakuleta mpaka mafia

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
jamani asieweza kuja nimlipie nauli au nimpandishe jahazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…