MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Mh em mtoe Erythrocyte mtoa taarifa mtiifu wa chama cha watoa taarifaZote hizo ni I'd za mtu mmoja ukimtoa Mshana Jr maana hizo ukimtoa Mshana Jr the rest Mada zao ni kusifu watu ,Ccm ,pombe na wanawake ,udini .
Luca.Huyo tahira mmoja mtoe kwenye group la watu timamu.
Nadhani unamjua au nimtag?
AhahahaLuca.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseé mnamwandama b mkubwa c poaa daaaMtalifanyia kazi wewe na nani? Mboni tinamuona mtu mmoja tu hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tegemea swali la ,UTALIFANYIA KAZI WW KAMA NANI.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahsante kwa taarifa, tutalifanyia kazi.
Lugha ya heshima hiyo.Mtalifanyia kazi wewe na nani? Mboni tinamuona mtu mmoja tu hapo