Nyuzi za wafuatao zinaashiria ni watu wenye akili nyingi wanaojua mambo mengi. Nyuzi zao sio za kupita bila kuzisoma

Katika hiyo list Kuna watu wenye nyuzi zinazotia kichefuchefu wakiongozwa na
1. Lucas mwashambwa
2. Mamasamia2025
3. Faizafoxy mwarabu wa Tabora
Halafu Kuna chawa mwingine mtafuta sifa na teuzi ChoiceVariable.
Mimi najiuliza, kwanini watoto wa kiume wamuwezi kusimama na miguu yenu wenyewe mnategemea uchawa? Mbona fursa ziko nyingi tu.
 
🗑️🗑️🗑️🗑️
20231024_150129.jpg
 
Wakuu leo nimeona huu ukweli niuseme kwamba hapa JF bila kujali itikadi, dini wala jambo lolote binafsi la mtu tukubali kwamba kuna wanaJF wanajua vitu vingi.

Ingawa baadhi huandika kiujanja ujanja kwa nia ovu ya kuwavuruga watu na kupotosha ila bado wanaonyesha wapo contented. Kwa mfano bibi FaizaFoxy anaonekana mdini ila ukisoma nyuzi zake utaona kuna vitu yuko deep. GENTAMYCINE huonekana kama mkorofi lakini nae contents zake ni za kusoma vizuri.

Kwa upande wangu wafuatao hutajutia kusoma nyuzi zao. Zina vitu.
1. MamaSamia2025
2. Lucas mwashambwa
3. Mshana Jr
4. Pascal Mayalla
5. GENTAMYCINE
6. Mohamed Said
7. FaizaFoxy
8. cocastic
9. Erythrocyte
10. DeepPond
mavi matupu. kuna nini hapo? Mwashamba? Rubbish!
 
JAMII FORUM IMEKUWA NA VILAZA MNO.

Binafsi nikaona Bora ubadili ID.

Nikahama na majukwaa
 
AU UNAONGEA KINYUME MKUU.

MAANA HAPO NIMEONA MBUMBUMBU WA KUTOSHA KAMA 9 HIVI
 
Wakuu leo nimeona huu ukweli niuseme kwamba hapa JF bila kujali itikadi, dini wala jambo lolote binafsi la mtu tukubali kwamba kuna wanaJF wanajua vitu vingi.

Ingawa baadhi huandika kiujanja ujanja kwa nia ovu ya kuwavuruga watu na kupotosha ila bado wanaonyesha wapo contented. Kwa mfano bibi FaizaFoxy anaonekana mdini ila ukisoma nyuzi zake utaona kuna vitu yuko deep. GENTAMYCINE huonekana kama mkorofi lakini nae contents zake ni za kusoma vizuri.

Kwa upande wangu wafuatao hutajutia kusoma nyuzi zao. Zina vitu.
1. MamaSamia2025
2. Lucas mwashambwa
3. Mshana Jr
4. Pascal Mayalla
5. GENTAMYCINE
6. Mohamed Said
7. FaizaFoxy
8. cocastic
9. Erythrocyte
10. DeepPond
Ondoa jina la Lucas mwashambwa zaidi ya uchawa, kulamba watu miguu, kusifu na kuabudu watawala hamna kingine anachokijua
 
Wakuu leo nimeona huu ukweli niuseme kwamba hapa JF bila kujali itikadi, dini wala jambo lolote binafsi la mtu tukubali kwamba kuna wanaJF wanajua vitu vingi.

Ingawa baadhi huandika kiujanja ujanja kwa nia ovu ya kuwavuruga watu na kupotosha ila bado wanaonyesha wapo contented. Kwa mfano bibi FaizaFoxy anaonekana mdini ila ukisoma nyuzi zake utaona kuna vitu yuko deep. GENTAMYCINE huonekana kama mkorofi lakini nae contents zake ni za kusoma vizuri.

Kwa upande wangu wafuatao hutajutia kusoma nyuzi zao. Zina vitu.
1. MamaSamia2025
2. Lucas mwashambwa
3. Mshana Jr
4. Pascal Mayalla
5. GENTAMYCINE
6. Mohamed Said
7. FaizaFoxy
8. cocastic
9. Erythrocyte
10. DeepPond
Hapo namba mbili lucas muondoe umekosea jamaa muda wote ni mnazi na yupo biased kuitetea CCM sio kama kina brother paschal Huwa wana sifu na kukosoa.....

To add few

Bujibuji

Liquid

Boban sunzu

Na wengine wenzangu wataongezea
 
Bila shaka wewe ni kada wa chama chs kijani, shabiki wa makolo, na mpenda udaku, masimango na ngono.

Kuna wengine hapo umetaja kuficha uhalisia wako.
 
Hapo namba mbili lucas muondoe umekosea jamaa muda wote ni mnazi na yupo biased kuitetea CCM sio kama kina brother paschal Huwa wana sifu na kukosoa.....

To add few

Bujibuji

Liquid

Boban sunzu

Na wengine wenzangu wataongezea
Pia kuna;
USSR
Magonjwa Mtambuka
Boss
Jane Lowassa
 
Wakuu leo nimeona huu ukweli niuseme kwamba hapa JF bila kujali itikadi, dini wala jambo lolote binafsi la mtu tukubali kwamba kuna wanaJF wanajua vitu vingi.

Ingawa baadhi huandika kiujanja ujanja kwa nia ovu ya kuwavuruga watu na kupotosha ila bado wanaonyesha wapo contented. Kwa mfano bibi FaizaFoxy anaonekana mdini ila ukisoma nyuzi zake utaona kuna vitu yuko deep. GENTAMYCINE huonekana kama mkorofi lakini nae contents zake ni za kusoma vizuri.

Kwa upande wangu wafuatao hutajutia kusoma nyuzi zao. Zina vitu.
1. MamaSamia2025
2. Lucas mwashambwa
3. Mshana Jr
4. Pascal Mayalla
5. GENTAMYCINE
6. Mohamed Said
7. FaizaFoxy
8. cocastic
9. Erythrocyte
10. DeepPond
bahati mbaya, unaweza kujikuta wewe ndio hauna akili kabisa kuliko wote, au kiwango cha akili ulichowapimia hao ni cha chini kuliko standard ya akili tulizonazo wengine.
 
Wakuu leo nimeona huu ukweli niuseme kwamba hapa JF bila kujali itikadi, dini wala jambo lolote binafsi la mtu tukubali kwamba kuna wanaJF wanajua vitu vingi.

Ingawa baadhi huandika kiujanja ujanja kwa nia ovu ya kuwavuruga watu na kupotosha ila bado wanaonyesha wapo contented. Kwa mfano bibi FaizaFoxy anaonekana mdini ila ukisoma nyuzi zake utaona kuna vitu yuko deep. GENTAMYCINE huonekana kama mkorofi lakini nae contents zake ni za kusoma vizuri.

Kwa upande wangu wafuatao hutajutia kusoma nyuzi zao. Zina vitu.
1. MamaSamia2025
2. Lucas mwashambwa
3. Mshana Jr
4. Pascal Mayalla
5. GENTAMYCINE
6. Mohamed Said
7. FaizaFoxy
8. cocastic
9. Erythrocyte
10. DeepPond
Toa Lucas Mwashambwa , weka Extrovert
 
Toa MamaSamia2025 weka Carlos The Jackal LIKUD Lucha
 
Back
Top Bottom