Katika hiyo list Kuna watu wenye nyuzi zinazotia kichefuchefu wakiongozwa na
1. Lucas mwashambwa
2. Mamasamia2025
3. Faizafoxy mwarabu wa Tabora
Halafu Kuna chawa mwingine mtafuta sifa na teuzi ChoiceVariable.
Mimi najiuliza, kwanini watoto wa kiume wamuwezi kusimama na miguu yenu wenyewe mnategemea uchawa? Mbona fursa ziko nyingi tu.