Nywele zangu za kifuani zimeanza kuwa na mvi, je tatizo ni nini?

secretarybird

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
23,984
Reaction score
51,055
Uchaguzi wa October ni feki!

Wadau nywele zangu za kifuani zimeanza kuwa na rangi nyeupe yaani mvi na sijui sababu ni nini.

Mimi kichwani Sina hata mvi Moja, ndevuni pia Sina hata mvi Moja na mavuzi ndo kwanza yananiota maana Mimi kiumri bado ni mdogo. Kwapani nywele zangu ni nyeusi kama zile za Kasimi Majaliwa.

Humu Kuna watu wenye uzoefu juu ya mambo mbalimbali hivyo natumai nitapata kujua linlonisibu

Ahsanteni!

Dr am 4 real PhD Monetary doctor Bush Dokta
 
Umedanganya umri mkuu, pembe la ng'ombe halifichiki umezeeka na umekaribia kukata moto!
 
20250829_214345.jpg
 
Uchaguzi wa October ni feki!

Wadau nywele zangu za kifuani zimeanza kuwa na rangi nyeupe yaani mvi na sijui sababu ni nini.

Mimi kichwani Sina hata mvi Moja, ndevuni pia Sina hata mvi Moja na mavuzi ndo kwanza yananiota maana Mimi kiumri bado ni mdogo. Kwapani nywele zangu ni nyeusi kama zile za Kasimi Majaliwa.

Humu Kuna watu wenye uzoefu juu ya mambo mbalimbali hivyo natumai nitapata kujua linlonisibu

Ahsanteni!

Dr am 4 real PhD Monetary doctor Bush Dokta
Kila iitwapo leo umri wako unasogea. Jifunze kuzihesabu siku zako na kujiandaa kwa ajili ya maisha yajayo. Utaenda wapi maisha yako ya duniani yakifika mwisho? Mbinguni au jehanam?
Zaburi 90:10-12
Siku zetu za kuishi ni miaka sabini, au miaka themanini ikiwa tuna nguvu..nazo zapita haraka, nasi twatoweka... Tufundishe kuzihesabu siku zetu vizuri
 
Back
Top Bottom