Asante kwa neno zuri šKila iitwapo leo umri wako unasogea. Jifunze kuzihesabu siku zako na kujiandaa kwa ajili ya uzima wa milele
Zaburi 90:10-12
Siku zetu za kuishi ni miaka sabini, au miaka themanini ikiwa tuna nguvu..nazo zapita haraka, nasi twatoweka... Tufundishe kuzihesabu siku zetu vizuri
Ni utani tu kiongozi! Siku hizi mambo yamebadilika sana sijui ndiyo mabadiliko ya tabianchi yenyewe hayo? Vijana wadogo mvi kama kawa! Siku hizi wenye ndefu nyeusi ni wachache sana!šš, Mkuu unanitisha
ma mchungaji mambo?Kila iitwapo leo umri wako unasogea. Jifunze kuzihesabu siku zako na kujiandaa kwa ajili ya uzima wa milele
Zaburi 90:10-12
Siku zetu za kuishi ni miaka sabini, au miaka themanini ikiwa tuna nguvu..nazo zapita haraka, nasi twatoweka... Tufundishe kuzihesabu siku zetu vizuri
Wife huwa anapenda kuzilamba nywele zangu za kifuani, nikizipaka super black atahatarisha maisha yake.Zipake super black
š¤£š¤£Andika wosia
Tubu, ufalme wa Mungu umekaribia (Mt 3:2)ma mchungaji mambo?
Kweli kabisa mkuu, hata vipara vimetapakaa sana mitaani tena walengwa wakubwa wa vipara hivyo ni vijana.Ni utani tu kiongozi! Siku hizi mambo yamebadilika sana sijui ndiyo mabadiliko ya tabianchi yenyewe hayo? Vijana wadogo mvi kama kawa! Siku hizi wenye ndefu nyeusi ni wachache sana!
šKama huna job Zituzee hizo hapa baadye unaweza piga hela kweny matangazo
mh! kuna kitu nataka nikwambie ma mchungaji naona unanipa vifungu vya bible š½Tubu, ufalme wa Mungu umekaribia (Mt 3:2)
Hakikisha unakwepa msongo wa mawazo,kwa kufanya hivyo mvi utaziona kwa wapita njia tu.Uchaguzi wa October ni feki!
Wadau nywele zangu za kifuani zimeanza kuwa na rangi nyeupe yaani mvi na sijui sababu ni nini.
Mimi kichwani Sina hata mvi Moja, ndevuni pia Sina hata mvi Moja na mavuzi ndo kwanza yananiota maana Mimi kiumri bado ni mdogo. Kwapani nywele zangu ni nyeusi kama zile za Kasimi Majaliwa.
Humu Kuna watu wenye uzoefu juu ya mambo mbalimbali hivyo natumai nitapata kujua linlonisibu
Ahsanteni!
Dr am 4 real PhD Monetary doctor Bush Dokta
Kwa hiyo hata mimi nitakwenda mbele ya khaki?Kuna mjomba wangu nae alikuwa hvy kama Ww, hakumaliza wiki mbili tukamzika wima wima futi 12 kwenda chini
Aha mkuu umejuaje npo single afu nipo kwa harkat ya kusaka jico
Ipi mkuusecretarybird, rekebisha Jina hapo kwenye post yako ya kwanza.
Ww tayar mhudumu wa mochwar ana jina lakoKwa hiyo hata mimi nitakwenda mbele ya khaki?
Ndugu yangu katika imani Monetary doctor njoo uniombee