Nywele zangu za kifuani zimeanza kuwa na mvi, je tatizo ni nini?

Nywele zangu za kifuani zimeanza kuwa na mvi, je tatizo ni nini?

Uchaguzi wa October ni feki!

Wadau nywele zangu za kifuani zimeanza kuwa na rangi nyeupe yaani mvi na sijui sababu ni nini.

Mimi kichwani Sina hata mvi Moja, ndevuni pia Sina hata mvi Moja na mavuzi ndo kwanza yananiota maana Mimi kiumri bado ni mdogo. Kwapani nywele zangu ni nyeusi kama zile za Kasimi Majaliwa.

Humu Kuna watu wenye uzoefu juu ya mambo mbalimbali hivyo natumai nitapata kujua linlonisibu

Ahsanteni!

Dr am 4 real PhD Monetary doctor Bush Dokta
Andika urithi muda wa Bwana ukifika waasitesekee
 
Uchaguzi wa October ni feki!

Wadau nywele zangu za kifuani zimeanza kuwa na rangi nyeupe yaani mvi na sijui sababu ni nini.

Mimi kichwani Sina hata mvi Moja, ndevuni pia Sina hata mvi Moja na mavuzi ndo kwanza yananiota maana Mimi kiumri bado ni mdogo. Kwapani nywele zangu ni nyeusi kama zile za Kasimi Majaliwa.

Humu Kuna watu wenye uzoefu juu ya mambo mbalimbali hivyo natumai nitapata kujua linlonisibu

Ahsanteni!

Dr am 4 real PhD Monetary doctor Bush Dokta
Unauliza tatizo nini na umri unakutupa mkono.
 
Garden love imeanza kusawajika vilivyo baada ya kuchezewa sana kifua na mashangazi hadi wakakupa laana ya mvi.

Kuja niyang'oe kama mchicha, navuta visiki vya mvi kama nawasha jenereta.

Bado Poor Brain na yeye soon anaanza kuota mamvi kifuani.
Mimi sina hyo garden love aiseee ila mishangazi inapenda kuchezea huu uchebe wangu..

Kuna mda huu uchebe natumia kuwatekenya shingoni
 
Mbona za kichwani bado ziko vyema?
Ni uzee, haziwezi kuwa mvi zote kwa mara moja. Ndani ya mwaka huu na mavuzi yako yote na nywele za kwapa yatakuwa mvi then zitakuja ndevu na mwishoni mwa 2026 kichwa chako chote kitakuwa mvi tupu.
Tunza hii post.
NB: Jokes aside ni genetic ila uko likely kuwa na mvi mwili mzima sooner than later.
 
Back
Top Bottom