Nywele zangu za kifuani zimeanza kuwa na mvi, je tatizo ni nini?

Ni uzee, haziwezi kuwa mvi zote kwa mara moja. Ndani ya mwaka huu na mavuzi yako yote na nywele za kwapa yatakuwa mvi then zitakuja ndevu na mwishoni mwa 2026 kichwa chako chote kitakuwa mvi tupu.
Tunza hii post.
NB: Jokes aside ni genetic ila uko likely kuwa na mvi mwili mzima sooner than later.
Hahahaha 😂
 
Uchaguzi wa October ni feki!

Wadau nywele zangu za kifuani zimeanza kuwa na rangi nyeupe yaani mvi na sijui sababu ni nini.

Mimi kichwani Sina hata mvi Moja, ndevuni pia Sina hata mvi Moja na mavuzi ndo kwanza yananiota maana Mimi kiumri bado ni mdogo. Kwapani nywele zangu ni nyeusi kama zile za Kasimi Majaliwa.

Humu Kuna watu wenye uzoefu juu ya mambo mbalimbali hivyo natumai nitapata kujua linlonisibu

Ahsanteni!

Dr am 4 real PhD Monetary doctor Bush Dokta
Age go
 
Labda unazinyoa
 
Back
Top Bottom