Nywele zangu za kifuani zimeanza kuwa na mvi, je tatizo ni nini?

Uchaguzi wa October ni feki!

Wadau nywele zangu za kifuani zimeanza kuwa na rangi nyeupe yaani mvi na sijui sababu ni nini.

Mimi kichwani Sina hata mvi Moja, ndevuni pia Sina hata mvi Moja na mavuzi ndo kwanza yananiota maana Mimi kiumri bado ni mdogo. Kwapani nywele zangu ni nyeusi kama zile za Kasimi Majaliwa.

Humu Kuna watu wenye uzoefu juu ya mambo mbalimbali hivyo natumai nitapata kujua linlonisibu

Ahsanteni!

Dr am 4 real PhD Monetary doctor Bush Dokta

MAANA YAKE UMRI WA KUOLEWA UMEFIKA. OLEWA SASA.
 
Kitimoto ndo dawa yake muone mla kitimoto cc Poor Brain
Jamaa angu katika imani sipendi unitag kama mimi mla kitimoto..

Humu ndani mimi ni official nina ndgu jamaa na marafiki na wanaamini mimi ni muslim safi jaribu kuwa na roho ya haya mkuu kweli mi toka lini nikawa mla nguruwe ..

Acha ukafiri hata kama nakula sio wa kunianika hvi mkuu mi sijapenda na sijazoea haya maneno yako udugu wangu unanikera sana... SIJAPENDA
 
Uchaguzi wa October ni feki!

Wadau nywele zangu za kifuani zimeanza kuwa na rangi nyeupe yaani mvi na sijui sababu ni nini.

Mimi kichwani Sina hata mvi Moja, ndevuni pia Sina hata mvi Moja na mavuzi ndo kwanza yananiota maana Mimi kiumri bado ni mdogo. Kwapani nywele zangu ni nyeusi kama zile za Kasimi Majaliwa.

Humu Kuna watu wenye uzoefu juu ya mambo mbalimbali hivyo natumai nitapata kujua linlonisibu

Ahsanteni!

Dr am 4 real PhD Monetary doctor Bush Dokta
Unafunika sana kifua na nguo,tembea kifua wazi kama power mabula!
 
Jamaa angu katika imani sipendi unitag kama mimi mla kitimoto..

Humu ndani mimi ni official nina ndgu jamaa na marafiki na wanaamini mimi ni muslim safi jaribu kuwa na roho ya haya mkuu kweli mi toka lini nikawa mla nguruwe ..

Acha ukafiri hata kama nakula sio wa kunianika hvi mkuu mi sijapenda na sijazoea haya maneno yako udugu wangu unanikera sana... SIJAPENDA
Kwa kweli ameteleza sana. Ametukosea heshima sana.
 
Jamaa angu katika imani sipendi unitag kama mimi mla kitimoto..

Humu ndani mimi ni official nina ndgu jamaa na marafiki na wanaamini mimi ni muslim safi jaribu kuwa na roho ya haya mkuu kweli mi toka lini nikawa mla nguruwe ..

Acha ukafiri hata kama nakula sio wa kunianika hvi mkuu mi sijapenda na sijazoea haya maneno yako udugu wangu unanikera sana... SIJAPENDA
Nisamehe udugu wangu,, nakiri Mimi mkosaji
 
Back
Top Bottom