secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Mbona za kichwani bado ziko vyema?Tatizo ni uzee
Wee jamaa😂Kwapani nywele zangu ni nyeusi kama zile za Kasimi Majaliwa.
Umedanganya umri mkuu, pembe la ng'ombe halifichiki umezeeka na umekaribia kukata moto!Uchaguzi wa October ni feki!
Wadau nywele zangu za kifuani zimeanza kuwa na rangi nyeupe yaani mvi na sijui sababu ni nini.
Mimi kichwani Sina hata mvi Moja, ndevuni pia Sina hata mvi Moja na mavuzi ndo kwanza yananiota maana Mimi kiumri bado ni mdogo. Kwapani nywele zangu ni nyeusi kama zile za Kasimi Majaliwa.
Humu Kuna watu wenye uzoefu juu ya mambo mbalimbali hivyo natumai nitapata kujua linlonisibu
Ahsanteni!
Dr am 4 real PhD Monetary doctor Bush Dokta
Asante kwa ushauri, nitafanya hivyo mkuuKapime figo
🤣😂Wee jamaa😂
Mimi bado ni barubaru, ndiyo kwanza nimebalehe.Sasa wewe nywele zote hizo unajiona bado mdogo ?
30 kama weweUna umri gani mimi nina miaka 30 ila nina mvi kichwani ndevu na kifuani
😂😂, Mkuu unanitishaUmedanganya umri mkuu, pembe la ng'ombe halifichiki umezeeka na umekaribia kukata moto!
Kila iitwapo leo umri wako unasogea. Jifunze kuzihesabu siku zako na kujiandaa kwa ajili ya maisha yajayo. Utaenda wapi maisha yako ya duniani yakifika mwisho? Mbinguni au jehanam?Uchaguzi wa October ni feki!
Wadau nywele zangu za kifuani zimeanza kuwa na rangi nyeupe yaani mvi na sijui sababu ni nini.
Mimi kichwani Sina hata mvi Moja, ndevuni pia Sina hata mvi Moja na mavuzi ndo kwanza yananiota maana Mimi kiumri bado ni mdogo. Kwapani nywele zangu ni nyeusi kama zile za Kasimi Majaliwa.
Humu Kuna watu wenye uzoefu juu ya mambo mbalimbali hivyo natumai nitapata kujua linlonisibu
Ahsanteni!
Dr am 4 real PhD Monetary doctor Bush Dokta
Acha kula viporo na sigara.Una umri gani mimi nina miaka 30 ila nina mvi kichwani ndevu na kifuani