Nywele zinavyohusishwa na roho na mapepo

imani zingine zinamdhalilisha mwanamke kwa hilo:

1 wakorintho 11
5 maana mwanamke asipofunikwa na akatwe nywele. Au ikiwa ni aibu mwanamke kukatwa nywele zake au kunyolewa, na afunikwe.
6 kwa maana kweli haimpasi mwanamume kufunikwa kichwa, kwa sababu yeye ni mfano na utukufu wa mungu. Lakini mwanamke ni utukufu wa mwanamume.

bibi katika ubora wako...nimekuelewa nitaanza kufunika nywele very soon..
 
yaan tena week hii niliona katika BBC wahindi wanakata nywele zao kama sadaka, sasa sisi mabinti tunavyopenda manywele ya bandia tunabeba mapepo bila kujua, sababu wao wanatoa kama sadaka, tuna vaa mapepo bila kujijua. tuwe tunatabia ya kuombea vitu kabla ya kuvitumia. tena hizi nywele ni balaa. Wakasema wanapeleka madukan zinatengenezwa vzr na wateja wao wakubwa ni waafrica; sisi tupo busy tunasema human hair. Mmoja akasema nikinyoa nywele zangu nakua mwepes kabisa nakua kama nimetua mzigo. Sasa hapo ktk kutua mzigo na sisi tuna vaa mizigo waliyo tua.
 
Kuna mambo ya kushangaza ambayo kwasababu ileile ya kimapokeo na mazoea huwa hatuyahoji au hatuna muda wa kufuatilia na pengine tunaridhika tu na hivyo yalivyo.

Nywele hizi zetu za kichwani zinabeba siri kubwa ambayo ina mawasiliano ya moja kwa moja na kuzimu au na roho zinazotangatanga.

Hebu tujihoji haya;

- Kwanini baadhi ya imani ni marufuku na hairuhusiwi kwa mwanamke kuonyesha nywele zake hadharani?
- Kwanini mchawi/mwanga anapokamatwa hukatwa nywele zote ili kummaliza nguvu zake?
- Kwanini chizi kichaa au mwendawazimu hunyolewa nywele kama sehemu ya tiba?
- Kwanini wachawi na waganga wengi hutumia nywele kama sehemu ya uchawi/ulozi wao?

Historia ya nywele kuhusiana na roho na nguvu za kiza inaanzia mbali sana miaka elfu nyingi iliyopita kwenye habari za Biblia takatifu kisa cha Samsoni na Delilah pale Mwenyezi Mungu alipoweka nguvu isiyomithilika kwenye nywele za Samsoni lakini shetani kupitia Delilah alimrubuni Samsoni na Samsoni akatoa siri ya nguvu zake.

Ni kutoka hapo ile nguvu ya kimungu iliyowekwa kwenye nywele za Samsoni iligeuka na kuwa nguvu ya kishetani na kufanya maangamizi makubwa, tangu hapo nywele imekuwa ni kitu kinachohusishwa na roho chafu na mapepo.
kama kuna ukweli vile....!?
 
mkuu kuna point naomba unisaidie,kuna mahusiano gani pale mchawi anapotaka kuondolewa uchawi wake hunyolewa nyele,pia kwa upande wa biblia pale samsoni aliponyolewa na nguvu zake kupotea,kwahiyo nguvu kwenye nywele ni ushurikina au nguvu za Mungu?
 
Kuna mahusiano kote kote Inategemea motive behind
Mwanzoni Mungu alimpa Samson nguvu kwenye nywele kwa manufaa ya wengi hii ilikuwa positive force...lakini pale alipotaka kulipiza kisasi ile positive force ikageuka negative
 
Huo wimbo tumeimba zamani sana wakati nikiwa vidudu na bad enough tulilazimishwa na mwalimu wetu wa Sanaa ambaye ni shabiki wa Paka wa Msimbazi!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe wewe yeboyebo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kuna mambo ya kushangaza ambayo kwasababu ileile ya kimapokeo na mazoea huwa hatuyahoji au hatuna muda wa kufuatilia na pengine tunaridhika tu na hivyo yalivyo.

Nywele hizi zetu za kichwani zinabeba siri kubwa ambayo ina mawasiliano ya moja kwa moja na kuzimu au na roho zinazotangatanga.

Hebu tujihoji haya;

- Kwanini baadhi ya imani ni marufuku na hairuhusiwi kwa mwanamke kuonyesha nywele zake hadharani?
- Kwanini mchawi/mwanga anapokamatwa hukatwa nywele zote ili kummaliza nguvu zake?
- Kwanini chizi kichaa au mwendawazimu hunyolewa nywele kama sehemu ya tiba?
- Kwanini wachawi na waganga wengi hutumia nywele kama sehemu ya uchawi/ulozi wao?

Historia ya nywele kuhusiana na roho na nguvu za kiza inaanzia mbali sana miaka elfu nyingi iliyopita kwenye habari za Biblia takatifu kisa cha Samsoni na Delilah pale Mwenyezi Mungu alipoweka nguvu isiyomithilika kwenye nywele za Samsoni lakini shetani kupitia Delilah alimrubuni Samsoni na Samsoni akatoa siri ya nguvu zake.

Ni kutoka hapo ile nguvu ya kimungu iliyowekwa kwenye nywele za Samsoni iligeuka na kuwa nguvu ya kishetani na kufanya maangamizi makubwa, tangu hapo nywele imekuwa ni kitu kinachohusishwa na roho chafu na mapepo.

Wakati nilipo tembelea tanga kwenye semina nilishukia lodge moja hivi inaitwa malindi iliyopo karibu na railway, pale nilipo amka nilikuta nimenyolewa nywele,nilijiuliza maswali mengi sana yasio na majibu.. Mshana jr unataka kuniambia nywele zangu kulikoni kwa maana mimi sio mkazi wa tanga inakuwaje waje kwenye lodge nakubeba nywele zangu bila kunijuwa mimi ni nani......
 
Walichukua malighafi pale relini kuna kilinge hata ukilala pale Amazon lazima upate mauzauza
 
Walichukua malighafi pale relini kuna kilinge hata ukilala Amazon lazima upate mauzauza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka, ila nimezidi kukushanga mzee unajuwa siri za hivi, mshana ehh taratibu unazingua wewe ni wakala ama.... Ahhh unanitisha mkuu
 
Back
Top Bottom