Pre GE2025 Nzega, Tabora: Mtaani kwetu kuna watu wanapita Kila kaya wanagawa mitungi ya gesi, Sharti lao uwape namba yako ya NIDA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
we endelea kupikia kuni kwa uchoyo wa namba ya nida tu shauri yako
 
Saa ingine mnaingia woga very unnecessary. Namba ya NIDA na uchaguzi wapi na wapi . Wanataka namba sababu ya records zao tu

Ingekuwa wanataka kadi ya mpiga kura labda ungeogopa.
 
Kwenye sanduku la kura si unakuwa mwenyewe? Iwaje sasa wawe na hakika ya kura yako?
 
N Polisi wamehongwa magari na pikipiki, watatumaliza mwaka huu wallah mbwa hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…