Hubble Telescope
JF-Expert Member
- Jan 30, 2025
- 426
- 527
Wife juzi kanipgia simu kuniambia kuna watu wamekuja home wanagawa mitungi ya gas bure nikamkatalia kuchukua.
Sasa Leo ikabidi nimdodose yani ni kina nani mpaka wagawe gasi bure akasema wao wakishakupa gase yao wewe unawapa namba Yako ya NIDA hapo tayari wanakuwa na uhakika wa kura Yako mwezi Oktoba.
Wakuu hii inawezekanaje si rushwa hii? Na kaya nyingi sana zilizofuzu vigezo hivyo zimechukua mitungi
Sio rushwa sema ni muwekezaji mpya wa Gesi anagawa mitungi ili wapate wateja wa Gesi Wengi makoto utakutana nayo katika gesiWife juzi kanipgia simu kuniambia kuna watu wamekuja home wanagawa mitungi ya gas bure nikamkatalia kuchukua.
Sasa Leo ikabidi nimdodose yani ni kina nani mpaka wagawe gasi bure akasema wao wakishakupa gase yao wewe unawapa namba Yako ya NIDA hapo tayari wanakuwa na uhakika wa kura Yako mwezi Oktoba.
Wakuu hii inawezekanaje si rushwa hii? Na kaya nyingi sana zilizofuzu vigezo hivyo zimechukua mitungi
Ushahidi wa hili ni ule uhuni uliofanyika majuzi kule Dodoma,ile ni hofu ya kukataliwa kama ungefuatwa utamaduni waliojiwekea wenyewe,sasa kuepuka hilo ndiyo wakafanya shambulizi la kushitukiza,lakini wanaccm hawajaridhika na kilichofanyika,hivyo hilo halijaisha mpaka liishe. Hadi anawakodi mashekhe wamletee majini siyo mchezo.Hapo sawa kama wanakataana wao kwa wao sawa
Kama baba yakoUna umri gani?
Hayo uliyosema ndiyo ya maana wakazingatia watathaminika ,Ndio kama wanania njema kweli wafanye 15 badala ya 25 wanayotuuzia... Halafu waende kwenye petrol/diesel wafanye 2000 badala ya 2900 uone maisha kama hayabadiliki na bei za nauli zinashuka
Kwahio namba ya NIDA ya mtu ndio Upigaji Kura wake ?!!! Kama vipi waje kwangu niwape Namba za Nida kama Zote; ila wasinipe Mitungi ya Gesi bali wawaambie watunge Sera wabadilishe / wahakikishe Umeme unazidi kupungua Bei...Wife juzi kanipgia simu kuniambia kuna watu wamekuja home wanagawa mitungi ya gas bure nikamkatalia kuchukua.
Sasa Leo ikabidi nimdodose yani ni kina nani mpaka wagawe gasi bure akasema wao wakishakupa gase yao wewe unawapa namba Yako ya NIDA hapo tayari wanakuwa na uhakika wa kura Yako mwezi Oktoba.
Wakuu hii inawezekanaje si rushwa hii? Na kaya nyingi sana zilizofuzu vigezo hivyo zimechukua mitungi
Wewe na wao ni wale wale unachokitetea unakijuaKwahio namba ya NIDA ya mtu ndio Upigaji Kura wake ?!!! Kama vipi waje kwangu niwape Namba za Nida kama Zote; ila wasinipe Mitungi ya Gesi bali wawaambie watunge Sera wabadilishe / wahakikishe Umeme unazidi kupungua Bei...
Nishati Safi ya Kupikia: Badala ya Kugawa Mitungi ya Gesi, Kwanini tusigawe induction Cookers
My experience na hiyo induction cooker: 1. Inahitaji sufiria maalumu 2. Inachukua muda kuivisha 3. Inatumia umeme mwingi kuliko inavyosemekana 4. Umeme ulikatika, hamna kupika 5. Ilidumu kwa siku 20, then ikapiga shoti Nisiwe too conclusive lakini, inawezekana the brand niliyokuwa natumia...www.jamiiforums.com
Shangaa na wewe !Sasa namba yako ya NIDA na kupiga kura wapi na wapi....
πNadhan hivyo mkuu
acha uzushi wa kipuuzi, namba ya NIDA ina biashara gani mpaka inunuliwe? Kukosa maarifa ni jangaWife juzi kanipgia simu kuniambia kuna watu wamekuja home wanagawa mitungi ya gas bure nikamkatalia kuchukua.
Sasa Leo ikabidi nimdodose yani ni kina nani mpaka wagawe gasi bure akasema wao wakishakupa gase yao wewe unawapa namba Yako ya NIDA hapo tayari wanakuwa na uhakika wa kura Yako mwezi Oktoba.
Wakuu hii inawezekanaje si rushwa hii? Na kaya nyingi sana zilizofuzu vigezo hivyo zimechukua mitungi
Kwelii kabisaa.Baada ya gas kuisha tunahifadhi stoo maana kubadilisiha mtungi bado bei ghali. Lengo zuri badi approach ya kutatua tatizo.
Everything has a price to pay