Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Haya ni mambo tuu ya wivu wa kike, mwanamke kashindwa na mwanamke mwenzake, sasa anataka kutuchafulia chama kwa mambo ya kijinga kabisa ya wivu wa kike na kusingizia ni rushwa ya ngono.
Takukuru wapi hiyo? Rushwa ya ngono ni kesi ya uhujumu uchumi.
Ohoooo !! umenikumbusha Buza kwa LulengeHa haaa dah Itobo, unajua wanyamwezi huwa wanafanana hulka na wazaramo sana.
endeleeni kuwabambika watu kesi , What goes around comes aroundIn the meanwhile selemani luwongo kakamatwa na takukuru kwa kutaka kumhonga msimamizi wa uchaguzi mtama
Changamoto hazikosekani
hii iko hadi ngazi ya Taifa , yafuatilie ya Babati MjiniHii sio changamoto! It’s simply “sexual terrorisme!” Or “Sexual Espionage!”
Shkamoo CCM[emoji119]
Takukuru mambo ya ccm wameyapeleka ccm .Mwenyekiti Kanuda ni tapeli tu, Takukuru kama kweli wapo achunguzwe,anashilikiana na uongozi wa benk ya NMB nzega kuwakopesha pesa walimu na manesi kwa liba kubwa sana.
Ni kweliHuyo mgombea lazima Ana msambwanda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Ccm na RUSHWA ni sawa na mwili na damu.. haviachani. Kimoja kikiondoka kingine kinakufa