Uchaguzi 2020 Nzega, Tabora. Wana-CCM kata ya Itobo wamkataa mteule wanayedai ametumia rushwa ya ngono

Hii rushwa ya ngono imetamalaki hadi kufikia kuvunja ndoa kwa mwenyekiti wa Chama na wafuasi wako kimyaa
Heri CCM wameamua kuikemea hadharani
Weka ushahidi kama huu ulioko hapa. Acha kuandika kwa hisia, au wewe umeukosa udiwani kwa vile huioshi vizuri kama alivyosema huyo?
 
Wamekasirika kutokana na aina ya rushwa au rushwa kwa ujumla? Mbona msemaji ni mmama?
Je, neno 'Itobo' lina maana gani?
 
Hii rushwa ya ngono imetamalaki hadi kufikia kuvunja ndoa kwa mwenyekiti wa Chama na wafuasi wako kimyaa
Heri CCM wameamua kuikemea hadharani
Huna hata aibu !
 
hii iko hadi ngazi ya Taifa , yafuatilie ya Babati Mjini

Nayo nimeyaona si muda!!

Hii sio sawa hata kidogo!

Naona kuna members humu wamesema ni jambo la kawaida!!??Its both pathetic and shameful kwa karne hii kuwaza hivyo!!


Leadership by deception isn't leadership. It's fraud.
 

Mwadirah ghawizah nnkoi!

Beware the build-up of an inward wound, For it will at last burst forth;......
Avoid, while you can, distress to one heart,
For a single moan can quake the Earth. [emoji95]
 
Hii rushwa ya ngono imetamalaki hadi kufikia kuvunja ndoa kwa mwenyekiti wa Chama na wafuasi wako kimyaa
Heri CCM wameamua kuikemea hadharani
Msambwanda aka chura kigogo uzalendo umemshindaaaaaaaa
Hujui kama msambwanda cv tosha

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Kajiongeza sana hii rushwa tamu sana, sasa takukuru mtamchunguza vip kuwa katoa rushwa
 
Hii rushwa ya ngono imetamalaki hadi kufikia kuvunja ndoa kwa mwenyekiti wa Chama na wafuasi wako kimyaa
Heri CCM wameamua kuikemea hadharani
CCM wameikemea au mwana Ccm mmoja?
Tukisema CCM sio chama bali genge la "Corleone", mnasema mnatukanwa.
 
Weka ushahidi kama huu ulioko hapa. Acha kuandika kwa hisia, au wewe umeukosa udiwani kwa vile huioshi vizuri kama alivyosema huyo?
Mwenyekiti kahonga kitmaalum akaacha mke
Ushahidi maneno yangu kama huyo mama wa Tabora alivyotoa maneno yake
 
Ha haaa dah Itobo, unajua wanyamwezi huwa wanafanana hulka na wazaramo sana.

Ndio maana nyie wenye vi TV vya kijamii mnafungiwa! Hivi hata huyu aliyerusha hii crip kweli anaweredi wa kiuandishi! Huwezikurusha maneno machafu kama hiyo tena bila ku barance story!

Naamini TCRA mpo humo , mchukulieni hatua mwenye hii media.
 
Yes p. Huyu mama korokoro lake lililopata kura nyingi ndo limepigwa chini, nayeye ndo lilikuwa korokoro lake, harafu inaonekana hana kiuno, maana cku zte wanawake wasio na makario huwa wanawachukia sana wenye Kitonga nyuma.

Huyu mama na mwenye media lao moja.

Viva mama wakiuno, kama kiuno kimekusaidia hongera pia, maana hawezi wapa Segere wajumbe wote,. Wewe punda kaa kimya ukishindwa ifungulie uioshe na wewe maana mchina bado hajafunga kiwanda cha makario.
 
Ccm na RUSHWA ni sawa na mwili na damu.. haviachani. Kimoja kikiondoka kingine kinakufa

Hakuna rushwa hapo, sema huyo mama hana kitonga nyuma(kiuno) harafu kaifungia badara ya kuifungulia na kuiosha.

Ni wivu tu mkuu! Lkn pia kushindwa kutumia rasirimali viungo tulivyopewa na mungu, yy km hana kiuno aende hata umiss ntobo.
Awaache wenye viuno wapige siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…