Uchaguzi 2020 Nzega, Tabora. Wana-CCM kata ya Itobo wamkataa mteule wanayedai ametumia rushwa ya ngono

Kumekucha
Huo sasa ni utakatishaji uchumi (body laundrying) na matumizi mabaya ya rasilimali kiungo.
 
Hhaha Sister kamkatikia Mjumbe akala shavu la ugombea udiwani kama RISHUBA na LIKUGE.
 
Wapiga kura wamshutumu mgombea kutoa rushwa ya penzi.
==
Mwanachama wa chama cha Mapinduzi amelalamikia Mgombea Udiwani wa Itobo kupitia chama cha Mapinduzi kutumia 'kiuno chake' kupata nafasi ya Kugombea udiwani japokuwa alipata kura saba dhidi 68 za aliyeshinda kura ya maoni.

Amesema kwa kauli za mgombea mwenyewe aliyesema 'Nitahakikisha nimemkatikia mwenyekiti Kanuda ili nipate udiwani' na kudai ni kweli Kanuda kamsimamia

Mwanachama amesema wanamtaka Abdallah ambae ndiye chaguo lao waliyempa kura 68 na sio mwenye kura saba.


Source:
 
Noma kweli huu uchaguzi safari hii ndio kwanza tumeanza tutasikia mengi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…