TANZIA O.J.Simpson afariki dunia. Alichomoka kesi ya mauaji ya mkewe na rafiki yake wa kiume pamoja na ushahidi kumnyooshea kidole

TANZIA O.J.Simpson afariki dunia. Alichomoka kesi ya mauaji ya mkewe na rafiki yake wa kiume pamoja na ushahidi kumnyooshea kidole

I'ma hop in the bed, dog gon jus pop off her head (you know what is is)
Tell "Oh Jay-Z chill, Cochran is dead"
Johnnie L. Cochran Jr.

One of the best to ever do it.

IMG_6271.jpeg
 
Hayo ma hand ball Yao wanayoita football hayana nafasi bongo na Wala hatumjui. Bongo ni soccer hayo ma bouncer yanayokimbizana mbali nayo huko huko
Hayo mambo yana levels zake mtoto wa osterbay, masaki, upanga, mbezi beach, mbweni na baadhi ya wajanja wajanja wa sinza na kadhalika lazima wajue american football, mieleka, kikapu, mashindano ya magari, lazima wawafahau akina Raphael nadal, jocovic sisi wengine yaani mimi na wewe tunaotokea kakonko, ngudu, maswa, nkwenda tukomalie tamthiliya zetu za juakali na simba na yanga mambo yasiwe mengi
 
Back
Top Bottom