PreGE2025 O kwenye bango la kuhamasisha kumchagua Samia inamaanisha hamna kitu (0)? CCM msimdhalilishe Mwenyekiti wenu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Kwa watu waliobobea kwenye mambo ya matangazo na uhamasishaji, utengenezaji wa tangazo la kiuhamasishaji kila kitu huzingatiwa kwa makini Sana

CCM wametoa bango lao la kuhamasisha watu wapige kura kwenye uchaguzi wa Oktoba 2025 wenye kila dalili kuwa watanzania wenye akili timamu hawatashiriki.

Kwenye bango hilo kuna picha ya mwanamke kwenye herufi "O" ambayo bila ya shaka inaashiria ilikusudiwa iwe ya mgombea wa CCM kwenye uchaguzi huo usioaminika unaopigiwa chapuo na CCM, Samia Suluhu Hassan.

Lakini nimewaza ni kwa nini CCM wameweka picha ya mgombea wao kwenye herufi "O" badala ya labda kuitanguliza au kuiweka mbele ya kauli mbiu yao?

Wanaojua historia ya uandishi labda wanaweza kutuambia ni kwa nini herufi "O" inafanana kimaumbile na tarakimu sifuri "0".

👇
downloadfile-17.jpg
 
View attachment 3361037
Anyway una halali ya tafsiri na mawazo yako.

Ila sijaona shida kwenye ubunifu wa kutengeneza tangazo. Ila ukiwa na NEGATIVE mind kama ulivyo wewe Allen Kilewella utaona hivyo.

Lakini kwa wenye ubongo ulio positive ukumbe umewafikia mujarab
 
Nembo ya wasiofahamika/ wasiojulikana wenyewe huwa hawaoneshi sura zao.
 
Mimi nilivyoiona hiyo picha kilichonijia kwanza kichwani ni tone la damu
 
Anyway una halali ya tafsiri na mawazo yako.

Ila sijaona shida kwenye ubunifu wa kutengeneza tangazo. Ila ukiwa na NEGATIVE mind kama ulivyo wewe Allen Kilewella utaona hivyo.

Lakini kwa wenye ubongo ulio positive ukumbe umewafikia mujarab
"Negative mind" yangu wewe umeiona kwenye muktadha gani?
 
Kwa watu waliobobea kwenye mambo ya matangazo na uhamasishaji, utengenezaji wa tangazo la kiuhamasishaji kila kitu huzingatiwa kwa makini Sana

CCM wametoa bango lao la kuhamasisha watu wapige kura kwenye uchaguzi wa Oktoba 2025 wenye kila dalili kuwa watanzania wenye akili timamu hawatashiriki.

Kwenye bango hilo kuna picha ya mwanamke kwenye herufi "O" ambayo bila ya shaka inaashiria ilikusudiwa iwe ya mgombea wa CCM kwenye uchaguzi huo usioaminika unaopigiwa chapuo na CCM, Samia Suluhu Hassan.

Lakini nimewaza ni kwa nini CCM wameweka picha ya mgombea wao kwenye herufi "O" badala ya labda kuitanguliza au kuiweka mbele ya kauli mbiu yao?

Wanaojua historia ya uandishi labda wanaweza kutuambia ni kwa nini herufi "O" inafanana kimaumbile na tarakimu sifuri "0".

👇
View attachment 3361037
Kiroho haina maana nzuri kabisa na nilimhoji jingalao kuhusu hili
 
Back
Top Bottom