PreGE2025 O kwenye bango la kuhamasisha kumchagua Samia inamaanisha hamna kitu (0)? CCM msimdhalilishe Mwenyekiti wenu!

PreGE2025 O kwenye bango la kuhamasisha kumchagua Samia inamaanisha hamna kitu (0)? CCM msimdhalilishe Mwenyekiti wenu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hiki ni kinyago chenye kuwakilisha utata wa kujikana nafsi na uwajibikaji... Kutojiamini na kutowajibika.. Lakini zaidi kujificha nyuma ya kivuli
IMG-20250608-WA0019.jpg
 
Ni No reform ,no election ,hiyo erection labda kama wewe unataka upigwe dudu
Kwisha habari yenu

Mmesusa 😂😂😂😂

Tulieni mlinde vyombo aiku ya uchaguzi
 
Ushungi ni zero, mbona hilo linajulikana...ukiondoa uchawa!.
 
Anyway una halali ya tafsiri na mawazo yako.

Ila sijaona shida kwenye ubunifu wa kutengeneza tangazo. Ila ukiwa na NEGATIVE mind kama ulivyo wewe Allen Kilewella utaona hivyo.

Lakini kwa wenye ubongo ulio positive ukumbe umewafikia mujarab
Huo ujumbe unawafikia maccm tu
 
Maana yake ni kuwa ........ONDOA HII CHINJA CHINJA ..........WEKA MTU SMART KAMA NI GWAJI BOY AU LISSU TUNDU
 
Back
Top Bottom