Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Angalia tena.Hakuna picha!!!!
Anyway una halali ya tafsiri na mawazo yako.Kwa watu waliobobea kwenye mambo ya matangazo na uhamasishaji, utengenezaji wa tangazo la kiuhamasishaji kila kitu huzingatiwa kwa makini Sana
CCM wametoa bango lao la kuhamasisha watu wapige kura kwenye uchaguzi wa Oktoba 2025 wenye kila dalili kuwa watanzania wenye akili timamu hawatashiriki.
Kwenye bango hilo kuna picha ya mwanamke kwenye herufi "O" ambayo bila ya shaka inaashiria ilikusudiwa iwe ya mgombea wa CCM kwenye uchaguzi huo usioaminika unaopigiwa chapuo na CCM, Samia Suluhu Hassan.
Lakini nimewaza ni kwa nini CCM wameweka picha ya mgombea wao kwenye herufi "O" badala ya labda kuitanguliza au kuiweka mbele ya kauli mbiu yao?
Wanaojua historia ya uandishi labda wanaweza kutuambia ni kwa nini herufi "O" inafanana kimaumbile na tarakimu sifuri "0".
👇
View attachment 3361037
Yes! Kwa nini waliamua kuweka picha yake kwenye O?Crap
Nembo ya wasiofahamika/ wasiojulikana wenyewe huwa hawaoneshi sura zao.Kwa watu waliobobea kwenye mambo ya matangazo na uhamasishaji, utengenezaji wa tangazo la kiuhamasishaji kila kitu huzingatiwa kwa makini Sana
CCM wametoa bango lao la kuhamasisha watu wapige kura kwenye uchaguzi wa Oktoba 2025 wenye kila dalili kuwa watanzania wenye akili timamu hawatashiriki.
Kwenye bango hilo kuna picha ya mwanamke kwenye herufi "O" ambayo bila ya shaka inaashiria ilikusudiwa iwe ya mgombea wa CCM kwenye uchaguzi huo usioaminika unaopigiwa chapuo na CCM, Samia Suluhu Hassan.
Lakini nimewaza ni kwa nini CCM wameweka picha ya mgombea wao kwenye herufi "O" badala ya labda kuitanguliza au kuiweka mbele ya kauli mbiu yao?
Wanaojua historia ya uandishi labda wanaweza kutuambia ni kwa nini herufi "O" inafanana kimaumbile na tarakimu sifuri "0".
👇
View attachment 3361037
Mimi nilivyoiona hiyo picha kilichonijia kwanza kichwani ni tone la damuKwa watu waliobobea kwenye mambo ya matangazo na uhamasishaji, utengenezaji wa tangazo la kiuhamasishaji kila kitu huzingatiwa kwa makini Sana
CCM wametoa bango lao la kuhamasisha watu wapige kura kwenye uchaguzi wa Oktoba 2025 wenye kila dalili kuwa watanzania wenye akili timamu hawatashiriki.
Kwenye bango hilo kuna picha ya mwanamke kwenye herufi "O" ambayo bila ya shaka inaashiria ilikusudiwa iwe ya mgombea wa CCM kwenye uchaguzi huo usioaminika unaopigiwa chapuo na CCM, Samia Suluhu Hassan.
Lakini nimewaza ni kwa nini CCM wameweka picha ya mgombea wao kwenye herufi "O" badala ya labda kuitanguliza au kuiweka mbele ya kauli mbiu yao?
Wanaojua historia ya uandishi labda wanaweza kutuambia ni kwa nini herufi "O" inafanana kimaumbile na tarakimu sifuri "0".
👇
View attachment 3361037
Nimeiona....Angalia tena.
Hii ngoma ya No Reforms No Elections ifanyieni hapahapa mtandaoni ila kwa ground ni kwamba Oktoba tuna mchagua tena Samia kwa kura nyingi tu.
"Negative mind" yangu wewe umeiona kwenye muktadha gani?Anyway una halali ya tafsiri na mawazo yako.
Ila sijaona shida kwenye ubunifu wa kutengeneza tangazo. Ila ukiwa na NEGATIVE mind kama ulivyo wewe Allen Kilewella utaona hivyo.
Lakini kwa wenye ubongo ulio positive ukumbe umewafikia mujarab
Kura nyingi dhidi ya zipi Chache?Hii ngoma ya No Reforms No Elections ifanyieni hapahapa mtandaoni ila kwa ground ni kwamba Oktoba tuna mchagua tena Samia kwa kura nyingi tu.
Crap
Ipo, angalia mzunguko wa rangi nyekundu harafu tafsiriHakuna picha!!!!
Chakandumuz wao walishasema HATUCHEZIIIIHii ngoma ya No Reforms No Elections ifanyieni hapahapa mtandaoni ila kwa ground ni kwamba Oktoba tuna mchagua tena Samia kwa kura nyingi tu.
Kiroho haina maana nzuri kabisa na nilimhoji jingalao kuhusu hiliKwa watu waliobobea kwenye mambo ya matangazo na uhamasishaji, utengenezaji wa tangazo la kiuhamasishaji kila kitu huzingatiwa kwa makini Sana