PreGE2025 O kwenye bango la kuhamasisha kumchagua Samia inamaanisha hamna kitu (0)? CCM msimdhalilishe Mwenyekiti wenu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
huyu mama amekataliwa katakata katika ulimwengu wa roho. Hana kibali kabisa. hana. Mnaomlazimisha kugombea mnamponza sana. masikini naye hastuki.
 
Hii ngoma ya No Reforms No Elections ifanyieni hapahapa mtandaoni ila kwa ground ni kwamba Oktoba tuna mchagua tena Samia kwa kura nyingi tu.
Hakuna uchaguzi mwaka huu. Vitapiga kura vikundi vya machawa tu ambavyo navyo vinahesabika.
NO REFORMS NO ELECTION ndiyo agenda ya watz wazalendo.
 
Ni wajinga peke yao ndiyo wanaokubali kutawaliwa na mgeni asiye na uchungu na raslimali zetu.
 
Uku nikukosa hoja.Huu utoto kaupost kule facebook angalau utakutana na watoto wenzako mtaujadili kwa bashasha na kujifariji.
 
Hii ngoma ya No Reforms No Elections ifanyieni hapahapa mtandaoni ila kwa ground ni kwamba Oktoba tuna mchagua tena Samia kwa kura nyingi tu.
Hawajiandai wanakazana kuandika mitandaoni.Itafika muda huo wimbo utazoeleka na kuonekana kawaida kwasababu kutoka sasa hadi kipindi cha uchaguzi muda ni mwingi na lolote linaweza kujitokeza as long as watu wanaendelea na shughuli zao huo wimbo siuoni ukidumu labda mtawala aamue kuwahurumia warudi mezani akiwapuuza imekula kwao.
 
huyu mama amekataliwa katakata katika ulimwengu wa roho. Hana kibali kabisa. hana. Mnaomlazimisha kugombea mnamponza sana. masikini naye hastuki.
Ulimwengu ni huu huu huo wa roho umetengenezwa nabinadamu kuwashikia watu akili kama wewe ulivyoshikwa.Mwenzako anakula vinono nakuwekeza kwa ajili ya familia yake hadi kizazi chake cha kumi wewe umekali ulimwengu wa roho.Shtuka.
 
No reforms no election
 

Attachments

  • image-2.jpg
    112.8 KB · Views: 11
Hawajiandai...
Tujiandae kufanya nini wakati tumesema hatushiriki uchaguzi?

Kuna watu wanauliza kama hatushiriki kwa nini tunakwenda mahakamani? Jibu letu kwao ni kwamba tunachopinga ni Tume kujipa mamlaka isiyo nayo ya kusema usiposaini maadili ya uchaguzi huwezi kushiriki uchaguzi.

NO REFORMS NO ELECTION!
 
Hakuna uchaguzi mwaka huu. Vitapiga kura vikundi vya machawa tu ambavyo navyo vinahesabika.
NO REFORMS NO ELECTION ndiyo agenda ya watz wazalendo.
Wewe kalale sisi tutapiga kura. Samia 5 tena mpaka 2030
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…