Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 5,994
- 8,696
Habari JF member,
Nisiwe mwingi wa maandishi niingie moja kwa moja katika mada lengwa kwaajili ya kuwekana sawa au kujuzana baadhi ya mambo.
Siku za karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kuanzisha mada mbalimbazi za kuhamasishana au kupinga kuoa, hizi mada ukizisoma kwa undani unabaini zinaandikwa na jinsia ya kiume zaid, pia ukizisoma kwa utulivu unagundu zinaandikwa katika namna ya chuki za wazi wazi kwa wanawake ambao ndio imeonekana kana kwamba wao ndio tatizo kubwa katika ndoa.
Vijana wameonesha chuki za waziwazi kwa baadhi ya wanawake na hata kwenye jukwaa letu la jf kunabaadhi ya member vita vyao ni dhidi ya wanawake tu.
Baada ya kuona yote haya nimekuja kuonesha kwanini yote haya yanatokea na suluhu yake ni ipi.
kiufupo tukiyafumbia macho haya yataharibu kizazi chetu na yatakuwa na madhara makubwa mbeleni, mfano watoto watazagaa mtaani wasio na mapenzi ya wazazi, wasio lelewa na wazazi wote wawili na hapa tutakuwa tumekuza tatizo.
Hizi ni miongoni mwa sababu za vijana wengi kukataa ndoa:
- Kukosa malezi madhubuti ya kiroho na kukosa hofu ya Mungu.
Vijana wengi leo hii hawahudhuri nyumba za ibada ambako ndiko kunapatikana hofu ya Mungu na mafundisho mengine ya koroho.
- Malezi ya upande mmoja
Vijana baadhi walokosa mapenzi ya wazazi wote huwa wanaharibika na wazazi huwaonesha mzazi ambaye hayupo ndo mbaya ambako kunamtengenezea mtoto chuki toka akiwa mdogo.
- Malezi mabaya ya familia
Kunabaadhi ya familia kila kukicha ni kupigana na kutukanana. Baba anampiga mama au mama anampiga baba. Huku hakuwwzi kutoa mtoto mzuri.
- Matatizo ya kiuchumi kwa vijana
Baadhi ya vijana wanahali ngumu kiuchumi na wanashindwa kutunza familia na wanaona familia/ndoa ni mzigo.
- Ulimbukeni na kutaka kuiga mifumo ya maisha ya ng"ambo
- Kukosa elimu na mafundisho sahihi ya ndoa.
- Matatizo ya kiafya hasa afya ya mwili na akili
- Vijana kushadadia dhambi na kuona kama ni fasheni.
KIjana anataka mtoto tuu. Hivi kwani kunakiwanda cha kuzalisha watoto? Ninyi kinadada mbona mnajirahisisha kuwa viwanda vya kuzalisha watoto? Kataa kutumika kijana wa kike, kataa zinaa kijana.
Kuwa na toto pasipo ndoa takatifu ni kuzini, vijana tuache mawazo ya kuzini ili tupate watoto maana hata hao watoto hawawezi kuwa wazuri maana kunabaadhi ya vitu wanakosa kiroho/kiimani.
- Vijana wa kiume kutotambua majukumu yao ndani ya nyumba
- Usagaji na ushoga
Mwanamke anataka aoe mwanamke mwenzake, mwanaume anataka aolewe na mwanaume mwenzake.
Kiufupi sababu ni nyingi mno na siwezi zimaliza hapa ila nimetabainisha baadhi tu.
Mwarubaini wa haya matatizo kwa vijana wetu ni kama ifuatavyo
USHAURI KWA VIJANA
Tuache mawazo potofu ya kukataa ndoa maana mtoto mzuri analelewa ndani ya ndoa. Tuwe na mawazo chanya na tupunguze chuki tulizopandikizwa na na wazazi wetu ambao ni ma single na hawa ndio sumu kubwa na huaribu mtoto. Tusikubali kurithi maadu.
Ukiolewa au ukioa kijana wa hovyo utaona ndoa si kitu cha maana nawe ndiyo utakuwa mtu wa kwaza kuharibu taifa kisa ulioa au uliolewa na mtu wa hovyo. Epuka mtu wa hovyo uepuke kuonekana wa hovyo katika maisha yako. Epuka mtu asiyekuwa na sifa za kuwa baba ama mama pasipo kuwa na ndoa.

KUBWA NI UPENDO MAANA PALIPO NA UPENDO WA KWELI HAPANA BAYAoa au olewa na mtu alopata malezi mazuri ya wazazi wake hasa wawili. Ogopa sana mtu alolelewa na mzazi mmoja huyo n hatari labda awe na hofu ya Mungu
oa au olewa na mtu unaempenda
Oa au olewa na mtu unaeweza mmudu katika nyanja za kiuchumi
oa au olewa na mtu ambaye mnamitizamo sawa ya kiimani hii itapunguza migogoro isiyo ya lazima katika ndoa.
Oa au olewa na mtu ambaye mnaweza sikilizana vyema
oa mwanamke unayempenda
mtafute Mungu na awe ndani ya moyo wako
tumia akili katika ndoa maana imeandikwa katika vitabu vitakatifu
kazaeni na kuijaza junia. Hili ni jukumu la wana ndoa ila si wazinifu.
amini matatizo hayakosi kutokea katika mahusiano ila yatokeapo ni budi kuyatatua kwa busara.
usiogope changamoto na usizikimbie.
tupunguze chuki zisizo na mashiko na tusikubali kuwa mawakala wa shetani
tuwatendee wenzetu vile tupendavyo kutendewa.