Oa au olewa na kijana wa hovyo uje kupotosha

Oa au olewa na kijana wa hovyo uje kupotosha

Badala utushauri Mambo ya msingi wewe unataka hata kidogo tulichonacho tukipoteze Kabisa hapa Tz ukitaka kuoa ni kujitaftia kifo Cha waziwazi. Kama Nikki wa pili ,stamina.
Hana hoja huyo,, kafanya kuonyesha chuki zake tu zidi ya hii kampeni yetu pendwa "KATAA NDOA, NDOA NI UTAPELI"
 
Badala utushauri Mambo ya msingi wewe unataka hata kidogo tulichonacho tukipoteze Kabisa hapa Tz ukitaka kuoa ni kujitaftia kifo Cha waziwazi. Kama Nikki wa pili ,stamina.
Hana hoja za msingi huyo,, alichokifanya ni kuonyesha chuki zake wazi zidi ya kampeni yetu pendwa "KATAA NDOA, NDOA NI UTAPELI"
 
Vipi suala la sheria ya ndoa mkuu? Naona haujaligusa. Mambo kama mali zigawanywe wakati aliezitolea jasho ni mwanaume, mke anaweza kuchukua mkopo kwa jina la mume na mume ndie atawajibika kulipa bila kujali huo mkopo alinufaika nao au uliishia kwenye mambo ya ovyo n.k. Unaona yapo sawa haya?
Mtoa mada kapuyanga tu, uzi mrefu lakini hakuna hoja yoyote ya msingi iliyotolewa.
 
Mbona hamjawaelewa vijana wa kataa ndoa wanamaanisha nini. Hakuna ambae hataki majukumu wanakipinga ni sheria ya ndoa yaani yale makubaliano mnayosaini na kupewa cheti ile kitu ndio inapingwa kwa kigezo kwamba inamkandamiza mwanaume. Jaribu kupitia sheria ya ndoa alafu vaa uhusika wa mwanaume
Wengi walio kwenye ndoa, akili ni zero thus why kila kukicha wanakuja kulia lia humu.
 
Kama mama yako alipigwa mimba tu na wahuni mitaani au alibakwa una haki ya kukataa ndoa coz hauna msingi wa malezi bora kutoka kwa baba na mama.
Ila kama wazazi walifunga ndoa takatifu huna haki ya kukataa ndoa
Oneni hoja nyingine ya kipumbavu hii hapa.
 
Unaoa/kuolewa na mtu aliyelelewa na single mother unategemea nini, kifupi nilichojifunza walio wengi hawa vijana wanaokataa ndoa wengi wao japo si wote wametoka Familia ambazo ni za mzazi mmoja au familia zenye migogoro, kuna raha sana unatoka kazini unapokelewa na watoto na mama nyumbani, tatizo la vijana walio wengi maisha ya kubangaiza.
Hoja ya kijinga,, TUNAOKATAA NDOA, tunakulea wewe mpaka ukoo wako wote... Endelea kukariri wote tunabangaiza.
 
Kuoa ni upumbavu kama upumbavu mwingine tu.
 
KATAA NDOA, NDOA NI UGONJWA SUGU MFANO WA DONDA NDUGU

NARUDIA TENA, NDOA SI NJEMA KWA AFYA YAKO YA AKILI

NYONGEZA: NIMETOKA KULA MKE WA MTU JIONI HII
 
Mtu anaepinga ndoa ujue hadidishi au ni punga uwez kuwa mwanaume kamili ukakataa ndoa
Jomba hoja yako ni dhaifu mno. Vijana wasio na ndoa wanachakata mbususu daily ndo maana wengi wao hawataki kuoa.. pia wengi wanaishi na wapenzi wao kama vile wameoana. Kuoa ni zaidi ya kudindisha. Nadhani hoja ya maadili ndo nzito zaidi.
 
Back
Top Bottom