Oa au olewa na kijana wa hovyo uje kupotosha

Ifike mahali tuache tabia za kupangiana maisha jamani.

Nadhani issue ya ndoa iko very subjective.Anayetaka kuoa na aoe na asiyetaka Basi.Just let everyone stick on their lane.
 
Unaoa/kuolewa na mtu aliyelelewa na single mother unategemea nini, kifupi nilichojifunza walio wengi hawa vijana wanaokataa ndoa wengi wao japo si wote wametoka Familia ambazo ni za mzazi mmoja au familia zenye migogoro, kuna raha sana unatoka kazini unapokelewa na watoto na mama nyumbani, tatizo la vijana walio wengi maisha ya kubangaiza.
 
Ukweli usiopingika mkuu
 
Kwaupande mmoja, ndoa ni kitu muhimu sana katika makuzi ya kulea familia kama kila mmoja akiwa na agenda moja yaani kujenga familia yafuraha na kulea watoto katika msingi wa maadili. Kwaupande mwingine ni kitu kibaya saana kama either one of you mtakuja na agenda za ziada katika hiyo ndoa, kitu kilichochema au kizuri kinaweza kuwa kibaya sana kama kikitumiwa vibaya. Kwenye hoja yako umeongelea vijana wa sikuizi wamekuwa na maisha ya kubangaiza na kwa uchumi huu tuliofikia vijana wengi wanapitia na watapitia hayo maisha, wachache ndio wanaweza kuyaepuka lakini hiki kitu wanawake bado hawajakubaliana na hii reality kabisa mwIsho wa siku huweka very high expectations na standards kwa vijana hao huku wakija na there side agenda ya Kuimarishwa kiuchumi pindi wanapoingia kwenye ndoa hata mahusiano. Hiki kitu kinamuumiza sana kijana kiakili na kiafya, na mwishowe huishia kuwachukia wanawake na kuikataa ndoa kwasababu huiona ni mzigo. Wanawake wengi hawapo tayari kukubali kuwa maisha ya sasaivi ukubali ukatae ni kuyabangaiza, ukifanikiwa piga goti shukuru Mungu maana vijana wengi tu wanajituma saana ila izo dharau na kebehi wanazo kutana nazo huwafanya kuiona ndoa na mwanamke ni mzigo.
 
Kabsa wanawake wanachangia kwa kiasi kikubwa sana vijana kutoona umuhimu wa ndoa, wengi wao agenda zao ni tofauti na kujenga familia.
 
nyie mkiowana wala hatuwashauri muachane ila ninyi sasa mnavyohangaika kutushauri tuoe.
 
Back
Top Bottom