Hoja ya kipumbavu kwa sababu hauitaki? Ndoa ni taasisi lazima itagusa mpaka background ya wazazi wako ulipotokea.
Kwa vile balehe bado inakusumbua hauwezi tambua
Wenye akili timamu na waoe na kuolewa. Waliolelewa katika msingi mzuri wa imani ya kidini waoe na kuolewa.
Walio lelewa katika ndoa acha waipendw ndoa.
Ila wengine mbaki na kuzini maana ndiyo maisha mlochagua.