Oa msichana ndani ya ukoo wako

Blaszczykowski

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2022
Posts
310
Reaction score
1,100
Naumia sana kuona wanawake kumdhalilisa waume zao pindi tu kunapotoke sitofahamu na kuachana.

Leo bora tuwafate waarabu life style yao tu japo si wote. Kuoa msichana asietoka mbali na familia naona itapunguza ukakasi na matatizo ya kudhalilishana kuliko unaenda kuoa 10000 miles, ndugu wa mke na mume ata akuna mawasiliano na kujuliana hali.

Mazingira humpa msichana kufanya upumbavu wowote bila ata kujiuliza mara mbili.

Mawazo yangu tu hayo.
 
Hii imekaa poa sana,
Hata ukiwaza kugombana unakumbuka ni ndugu yako unamuonea hata imani au huruma. Yaan kama ndugu yake unakua pia na jukumu la kumlinda hivyo unamuepushia yale mabaya.
 
🤣🤣🤣

Hivi tuseme wanawake wametuzidi akili? Mbona threads za aina hii zimekuwa nyingi?

Wanaume tumekuwa watu wa kulia lia tu kutwa kuumizwa na hawa wasaidizi wetu
Tuna kizazi cha hovyo hovyo sana.
Ni kweli kuna wanawake pasua kichwa lkn sio kwa ukubwa huu.
Ukiwa akili kubwa mwanamke unamdhibiti tu kwa upendo na anatulia tu na mahaba juu.

Akili mtu wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…