Oa msichana ndani ya ukoo wako

Oa msichana ndani ya ukoo wako

Naumia sana kuona wanawake kumdhalilisa waume zao pindi tu kunapotoke sitofahamu na kuachana.

Leo bora tuwafate waarabu life style yao tu japo si wote. Kuoa msichana asietoka mbali na familia naona itapunguza ukakasi na matatizo ya kudhalilishana kuliko unaenda kuoa 10000 miles, ndugu wa mke na mume ata akuna mawasiliano na kujuliana hali.

Mazingira humpa msichana kufanya upumbavu wowote bila ata kujiuliza mara mbili.

Mawazo yangu tu hayo.
In breeding sio nzuri
Bora uende uko 1000 miles

Kuhusu suala la mawasiliano mbona rahisi
Simu zipo

Tatizo watu wakishaoa hawataki ndugu waje kukaa kwako ndo mna inakua ivo
 
Waarabu ,wahindi na wapemba wana msli nyingi huwa hawataki maki zitoke nje ya ukoo na hutaka mzunhuko wa utajiri ubaki aside mtu akaoa au kuolewa na maskini utajiri wa ukoo ukaanza kuyumba kwa kupungua badala ya kuongezeka kwa mzigo wa kulea mke au mume na ukoo wake maskini

Waswahili kuna koo ni wachawi,maskini wa kutupwa,wajinga wa kutupwa ,wavivu wa kutupwa,roho mba,wasiopenda maendeleo ,wenye tabia mbaya kama umalaya wa kupindukia,kudunda wanaume au wake zao nk kwenye scenario kama hizo ndio maana watu hukimbilia ndoa za mchanganyiko kama wakimbizi wa kuki.mbia hayo nimeyataja kwenda kuoa au kuolewa nje ya ukoo au kabila au nchi kuvunja mnyororo wa hayo mambo yasiendelee kizazi kingine
 
Usipoishi naye kwa akili, akishapata tu watoto, kiu yake na wewe jua imekwisha, linalofuata ni kukutanguliza muhusika mbele za haki, Ova.
Wakipata watoto na gamba la ndoa huwa wanabadilika wanaona mwanamume hana ujanja kiburi kinaanza kwamba sheria zinawalinda
 
Naumia sana kuona wanawake kumdhalilisa waume zao pindi tu kunapotoke sitofahamu na kuachana.

Leo bora tuwafate waarabu life style yao tu japo si wote. Kuoa msichana asietoka mbali na familia naona itapunguza ukakasi na matatizo ya kudhalilishana kuliko unaenda kuoa 10000 miles, ndugu wa mke na mume ata akuna mawasiliano na kujuliana hali.

Mazingira humpa msichana kufanya upumbavu wowote bila ata kujiuliza mara mbili.

Mawazo yangu tu hayo.
Naunga mkono hoja
P
 
Tuna kizazi cha hovyo hovyo sana.
Ni kweli kuna wanawake pasua kichwa lkn sio kwa ukubwa huu.
Ukiwa akili kubwa mwanamke unamdhibiti tu kwa upendo na anatulia tu na mahaba juu.

Akili mtu wangu
Upendo ngoja nimuulize hapa Bill get kama alikuwa hampendi Make wake
 
Back
Top Bottom