Oa msichana ndani ya ukoo wako

Oa msichana ndani ya ukoo wako

Naumia sana kuona wanawake kumdhalilisa waume zao pindi tu kunapotoke sitofahamu na kuachana. Leo bora tuwafate waarabu life style yao tu japo si wote. Kuoa msichana asietoka mbali na familia naona itapunguza ukakasi na matatizo ya kudhalilishana kuliko unaenda kuoa 10000 miles, ndugu wa mke na mume ata akuna mawasiliano na kujuliana hali. Mazingira humpa msichana kufanya upumbavu wowote bila ata kujiuliza mara mbili. Mawazo yangu tu hayo.
Ntaoa bint wa mpwa wangu,,,,,

Najua most of genes zitakua zmekuwa masked/recessive kwa hyo n ngumu kuja kujiexpress kwenye generation tutayozaa mm na yy.
Ogopa sana hii ndoa ya dada na kaka mtazaa mataahhira kama magabacholi na waarabu
 
Yeah! Ushauri mzuri ili kama ukoo una pumu mjifie wenyewe na pumu yenu
 
Nongea kwa ushahidi. Nenda nchini Kanada au Marekani maeneo wanayoishi wamenonnite wanaoana ndugu kwa ndugu kwenye kile kinachoitwa endogamy utajua hujui unachoongea mwanangu
Mimi naongea pia ushahidi njoo Muscat Alsaid Loyer family njoo uwone maisha yalivyo bora muunganiko wa familia ulivyoshamiri furaha na kujuana vizuri
 
Mimi naongea pia ushahidi njoo Muscat Alsaid Loyer family njoo uwone maisha yalivyo bora muunganiko wa familia ulivyoshamiri furaha na kujuana vizuri
Hujui kinachoendelea ndani ya familia. Nadhani unafikiri kimaskini na kwa uoni mfinyu. Waafrika hatuna mila za mbwambwa za kuoana ndugu kwa ndugu. Ni laana tu
 
Hujui kinachoendelea ndani ya familia. Nadhani unafikiri kimaskini na kwa uoni mfinyu. Waafrika hatuna mila za mbwambwa za kuoana ndugu kwa ndugu. Ni laana tu
Izo laana zipo ukishakuwa black tayari laana shida zote zipo Africa. Tatizo mnakalili ukweli ndio upo ivyo matatizo ya ndoa koo pia uchangia zikiwa tofauti muhaya na mchaga kuna ndoa apo
 
Izo laana zipo ukishakuwa black tayari laana shida zote zipo Africa. Tatizo mnakalili ukweli ndio upo ivyo matatizo ya ndoa koo pia uchangia zikiwa tofauti muhaya na mchaga kuna ndoa apo
Ushawahi ona Muha na Mchaga ,Waha awana matatizo kwenye ndoa zao wanashika wenyewe kwa wenyewe kataa ukubali
 
Izo laana zipo ukishakuwa black tayari laana shida zote zipo Africa. Tatizo mnakalili ukweli ndio upo ivyo matatizo ya ndoa koo pia uchangia zikiwa tofauti muhaya na mchaga kuna ndoa apo
Unaongea kwa kukata tamaa bila kutoa faida. Watu kama wewe waliojikana na kukata tamaa wanaweza kuwazia lolote. Kwani wahaya na wachaga wakioana tatizo ni nini kama wote ni wasomi na wana katabia ka kudumisha mila? Huoni kuwa hii ni droo mechi.
 
Uchagani hauwezi kuoa/kuolewa na either mtoto wa baba mdogo, mkubwa, shangazi au mjomba labda umege tunda kimasihara
 
Back
Top Bottom